Ni kweli mkuu maana akibug akarudisha majeshi nyuma atapoteza ushawishi hasa mashariki ya kati,utashuhudia Iran,north Korea, India,belaruz na wengine wakimkimbiaPutin anaona aibu kurudisha jeshi lake nyuma Kwa kifupi hii vita inamla Sana pesa na hakuna anachopata..
Hii Vita imemdhalilisha.Putin anaona aibu kurudisha jeshi lake nyuma Kwa kifupi hii vita inamla Sana pesa na hakuna anachopata..
Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara zingine nyingi mpaka Urusi imeomba msaada Syria na kwingine.
Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa huko mpakani....hovyoo sana.
ushawai fika kambi za alshabab ? ukajua silaha zaoVipi kuhusu Kdf imeshindwa na Kakindu kadogo Tu Al Shabbab,ambako hata hakana Javelin,mlrs,APC helicopter,etc kwa miaka kumi sasa?
Al Shaabab wale wanafanya guerilla war ndio maana inakuwa ngumu kupambana nao. Anakuja mmoja anauwa watu anatoroka. Trend inaendelea hivyo hivyo.ushawai fika kambi za alshabab ? ukajua silaha zao
Hapo Russia (Tanzania) na Ukraine (Rwanda). You can imagine ka_Rwanda kanaweza kuisumbua Tanzania ?Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara zingine nyingi mpaka Urusi imeomba msaada Syria na kwingine.
Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa huko mpakani....hovyoo sana.
hujajibu swali langu , umejuaje uhafifu wa silaha bora kwa hao alshabab ?Al Shaabab wale wanafanya guerilla war ndio maana inakuwa ngumu kupambana nao. Anakuja mmoja anauwa watu anatoroka. Trend inaendelea hivyo hivyo.
Vipi kuhusu Kdf imeshindwa na Kakindu kadogo Tu Al Shabbab,ambako hata hakana Javelin,mlrs,APC helicopter,etc kwa miaka kumi sasa?
Hapo Russia (Tanzania) na Ukraine (Rwanda). You can imagine ka_Rwanda kanaweza kuisumbua Tanzania ?
Sub-hanallahKDF haipigani na Somalia, fahamu hao mazombi wa dini ya mwarabu ni kero la dunia maana hata Somalia yenyewe imejaribu kupigana nao na kuwaua wengi tu ili kuwawahisha wakapewe mabikira, mazombi ya kihivyo hata uwaue milioni, bado wataendelea kuwa kero, maana dhawabu ya mabikira ni tamu sana, sijui kwanini na nyie wafuasi wa mwarabu huwa mnachelewa kujiunga.
Kwamba Tanzania ina ukubwa wa kilometa za mraba laki tisa halafu Urusi ina ukubwa wa kilomita za mraba 17?Russia ina ukubwa km² 17.1,Africa ina km² 30.37, Tz ina km² 900k+ na Ukrain ina km² 600k+ ikiwa ndio nchi ya pili kwa ukubwa ulaya baada ya Russia. sijui nlitaka kusema nn
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app