Hii record ya Yanga haiwezi kuvunja Tena Tanzania

Vyura walinyukwa kama viluilui[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujakataa ila hiyo record ina Umuhimu gani kwa nyakati tulizonazo?

Hebu tuambie basi Mtani?[emoji12][emoji12]
Ko wewe zingekua ni habari za ushindi ndo zingekua na umuhimu sana eeeh?
But, unatakiwa ujue kua ni vizr sana kujifunza kutoka kwenye kushindwa kuliko kushinda.
Kama ujifunzi kwenye kushindwa ni wazi kwamba utaendeleaa kushindwa muda wote.
" Jifunze kupitia makosa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hatujaelewana hata.

Nauliza hii record ina nafasi gani kwa wakati uliopo kwa Yanga? Hili ndio swali langu
 
Kujifunza ni labda tungekuwa kwenye mashindano ka hayo labda ndio mngeleta huu uzi kwamba tujifunze kwa makosa sasa hatuna mashindano yeyote ya Kimataifa rekodi hii ya kazi gani?
 
Rekodi nyingine"Simba ndio timu ya kwanza mchezaji wao kusajiliwa kwa mkopo katika bendi ya Akudo Impacto akaongeze umahiri wa kukata mauno ili asipate tabu wakati wa kukutana na vumbi la kongo huyo si mwingine ni Zana Coulibaly"
Jamaa kwa mauno hana mpinzani Afrika nzima.
Kweli kikosi kipana hadi kwenye mauno.
 
Nadhani hatujaelewana hata.

Nauliza hii record ina nafasi gani kwa wakati uliopo kwa Yanga? Hili ndio swali langu
Ahahahaha, kumbe unaona karibu hauna uwezo wa kuona mbali.
Uku kufukua makaburi kunaweza kukawasaidia msimu ujao mkienda kushiriki msirudie makosa mliokua mmefanya hadi mkafungwa goli nyingi hivyo. Uku mkijua kua hiyo ni record mbaya ko mnatakiwa kuifukia kwa kuvunja record nyingine.
Pili, simba wanaweza kujifunza kupitia hapo mana bado wapo kwenye mashindano yasije yakawakuta yaliyowakuta Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushindi dhidi ya Waarabu wa Chalinze umewapa kiwewe. Wataongea lolote hadi mechi za kwenye kundi ziishe.
 
Hamna kitu kama hicho banaaa. Mmeamua tu kuleta nyuzi zenu za kishabiki kisa mmemfunga yule mwarabu koko. Bhaass hakuna kingine hapo.

Una hakika gani kwamba tutashiriki mashindano ya Kimataifa mwakani na kufika huko makundini?
 
Hamna kitu kama hicho banaaa. Mmeamua tu kuleta nyuzi zenu za kishabiki kisa mmemfunga yule mwarabu koko. Bhaass hakuna kingine hapo.

Una hakika gani kwamba tutashiriki mashindano ya Kimataifa mwakani na kufika huko makundini?
Hata kama kaleta kiushabiki lakini ka mtu unayejua kujifunza kwa makosa usingeuchukulia huo ushabiki ila ungechukua huo ukweli uliomo kwenye ushabiki aliouleta.
Eti unauliza unauhakika gani ka mwakani mtashiriki? Hivi ni swali la mtu mwenye akili kweli? Au unataka kusema Yanga hamna Mpango wa kuchukua ubingwa wa Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii ndio shida yenu baadhi ya mashabiki wa Mikia. Ushabiki bila maneno makali mnaona sio ushabiki eee? Pole sana.

Ila niseme tu wacheni nyuzi za kishabiki zisizo na faida kwa wakati uliopo sababu hiyo yenu ni sawa na kuanza kujadili kitu ambacho hakipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…