Kuna vumbi la Congo linamgojeaHahahaaa. Huyu Swahiba wangu namshangaa sana anapojiita mchambuzi wa Soka wakati nyuzi zake zimekaa kiushabiki kabisa. Atuwacheee. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vumbi la Congo linamgojeaHahahaaa. Huyu Swahiba wangu namshangaa sana anapojiita mchambuzi wa Soka wakati nyuzi zake zimekaa kiushabiki kabisa. Atuwacheee. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
MWAKA 1998 YANGA SC WALIFANIKIWA KUINGIA HATUA YA MAKUNDI CLUB BINGWA
YANGA WALIWEZA KUWEKA RECORD MATATA AMBAYO SIDHANI KAMA KUNA TIMU ITAKUJA KUIFIKIA
YANGA ILIWEZA KUWEKA RECORD YA KUFUNGWA JUMLA YA MAGOLI 25 hatua ya makundi walifungwa goli 19 angalia kwenye msimamo apo na hatua ya mtoano (awali) walifungwa goli 6 6+19=25 manake wastani kwenye kundi kila timu iliifunga Yanga magoli 6 yaani home na away.
Rekodi hi niyakipekee kabisaView attachment 994914
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga bhana hamtaki kuambiwa ukweli, ka si record leteni mnayoijua basiHahaahhaa Mikia bana kweli nyie ni Mambumbumbu. Yaani kumfunga yule Mwarabu Koko wa Pemba ndio mnajiona ndio mmefika. Jumamosi si mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana Habari anajua na WaCongo ni Mdebwedo nao.
Hatujakataa ila hiyo record ina Umuhimu gani kwa nyakati tulizonazo?Yanga bhana hamtaki kuambiwa ukweli, ka si record leteni mnayoijua basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ko wewe zingekua ni habari za ushindi ndo zingekua na umuhimu sana eeeh?Hatujakataa ila hiyo record ina Umuhimu gani kwa nyakati tulizonazo?
Hebu tuambie basi Mtani?[emoji12][emoji12]
Nadhani hatujaelewana hata.Ko wewe zingekua ni habari za ushindi ndo zingekua na umuhimu sana eeeh?
But, unatakiwa ujue kua ni vizr sana kujifunza kutoka kwenye kushindwa kuliko kushinda.
Kama ujifunzi kwenye kushindwa ni wazi kwamba utaendeleaa kushindwa muda wote.
" Jifunze kupitia makosa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujifunza ni labda tungekuwa kwenye mashindano ka hayo labda ndio mngeleta huu uzi kwamba tujifunze kwa makosa sasa hatuna mashindano yeyote ya Kimataifa rekodi hii ya kazi gani?Ko wewe zingekua ni habari za ushindi ndo zingekua na umuhimu sana eeeh?
But, unatakiwa ujue kua ni vizr sana kujifunza kutoka kwenye kushindwa kuliko kushinda.
Kama ujifunzi kwenye kushindwa ni wazi kwamba utaendeleaa kushindwa muda wote.
" Jifunze kupitia makosa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kwa mauno hana mpinzani Afrika nzima.Rekodi nyingine"Simba ndio timu ya kwanza mchezaji wao kusajiliwa kwa mkopo katika bendi ya Akudo Impacto akaongeze umahiri wa kukata mauno ili asipate tabu wakati wa kukutana na vumbi la kongo huyo si mwingine ni Zana Coulibaly"
Ahahahaha, kumbe unaona karibu hauna uwezo wa kuona mbali.Nadhani hatujaelewana hata.
Nauliza hii record ina nafasi gani kwa wakati uliopo kwa Yanga? Hili ndio swali langu
Ushindi dhidi ya Waarabu wa Chalinze umewapa kiwewe. Wataongea lolote hadi mechi za kwenye kundi ziishe.Mmh. Nimekaa najiwazia tu Swahiba kwa mashindano gani anayoshiriki yanga mwaka huu mpaka ukaleta hizi rekodi zako?
Usitukane Mamba huku hujavuka mto. Yanaweza yasifikie idadi ya Yanga ila kwa Wingi wake na Kikosi chenu ikawa ni zaidi ya aibu mwenu. Tusubiri tuone.
Hamna kitu kama hicho banaaa. Mmeamua tu kuleta nyuzi zenu za kishabiki kisa mmemfunga yule mwarabu koko. Bhaass hakuna kingine hapo.Ahahahaha, kumbe unaona karibu hauna uwezo wa kuona mbali.
Uku kufukua makaburi kunaweza kukawasaidia msimu ujao mkienda kushiriki msirudie makosa mliokua mmefanya hadi mkafungwa goli nyingi hivyo. Uku mkijua kua hiyo ni record mbaya ko mnatakiwa kuifukia kwa kuvunja record nyingine.
Pili, simba wanaweza kujifunza kupitia hapo mana bado wapo kwenye mashindano yasije yakawakuta yaliyowakuta Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huu ndio ukweli yaani wameshajiona kama washapita. Wasubiri wakitoboa Congo na kule Misri ndio watuletee hizi habari zao.Ushindi dhidi ya Waarabu wa Chalinze umewapa kiwewe. Wataongea lolote hadi mechi za kwenye kundi ziishe.
Na sasa tumejua kwa nini ni wang'oa viti kwa Mchina. Katika hilo wanaongozwa na Mo mwenyewe. Tabia haina dawa.Na huu ndio ukweli yaani wameshajiona kama washapita. Wasubiri wakitoboa Congo na kule Misri ndio watuletee hizi habari zao.
Na kafanya vile huku anachekelea kabisa. Na ile ndio tafsiri fasaha ya Umbumbumbu. 😎Na sasa tumejua kwa nini ni wang'oa viti kwa Mchina. Katika hilo wanaongozwa na Mo mwenyewe. Tabia haina dawa.
Hata kama kaleta kiushabiki lakini ka mtu unayejua kujifunza kwa makosa usingeuchukulia huo ushabiki ila ungechukua huo ukweli uliomo kwenye ushabiki aliouleta.Hamna kitu kama hicho banaaa. Mmeamua tu kuleta nyuzi zenu za kishabiki kisa mmemfunga yule mwarabu koko. Bhaass hakuna kingine hapo.
Una hakika gani kwamba tutashiriki mashindano ya Kimataifa mwakani na kufika huko makundini?
Hata kama kaleta kiushabiki lakini ka mtu unayejua kujifunza kwa makosa usingeuchukulia huo ushabiki ila ungechukua huo ukweli uliomo kwenye ushabiki aliouleta.
Eti unauliza unauhakika gani ka mwakani mtashiriki? Hivi ni swali la mtu mwenye akili kweli? Au unataka kusema Yanga hamna Mpango wa kuchukua ubingwa wa Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwadui anakusubiri taifa Leo umejipanga? Maana nasikia makambo kazima simuNa sasa tumejua kwa nini ni wang'oa viti kwa Mchina. Katika hilo wanaongozwa na Mo mwenyewe. Tabia haina dawa.