Kwani kujua tulipotoka Kuna shida yoyote swahiba?Kujifunza ni labda tungekuwa kwenye mashindano ka hayo labda ndio mngeleta huu uzi kwamba tujifunze kwa makosa sasa hatuna mashindano yeyote ya Kimataifa rekodi hii ya kazi gani?
Inaonekana unawaogopa Sana wakina faly Ipupa na Werason wale wanachezeshwa singeli kulu kule Kinshasa
Lengo ni nini?Swahiba kwani Kuna shida? Mimi nimeleta tu TBT kuonyesha tulipotoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mimi Ni Mchambuzi nguli nitunze maneno ya Nini wakati natoa facts tuKwa kuwa Brave ni bingwa wa kujisahaulisha. Namtunzia mie. Asije kuyakataa tu.
Hahahaaa. Haya bana tukumbusheni tu.Kwani kujua tulipotoka Kuna shida yoyote swahiba?
Leo una mwadui ujue alafu makambo hayupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa. Shikamooo Brave!Sasa Mimi Ni Mchambuzi nguli nitunze maneno ya Nini wakati natoa facts tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa wale wasiofahamu wajueLengo ni nini?
Sasa kwa mashindano yapi Yanga tunayoshiriki?[emoji3][emoji3][emoji3] kwa wale wasiofahamu wajue
Usipojua ulipotoka huwezi jua unapoenda
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Swaiba Mimi na wewe damu damu ila tatizo lako yako Ni ya njano na Mimi Ni nutralHahahaaaa. Shikamooo Brave!
Nalijua hilo Swahiba. Tatizo unapenda kutuvuruga banaaa. 😜😜😜[emoji3][emoji3][emoji3]Swaiba Mimi na wewe damu damu ila tatizo lako yako Ni ya njano na Mimi Ni nutral
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mpaka kuwe na mashindanoSasa kwa mashindano yapi Yanga tunayoshiriki?
Ndio. Sababu hadi mwaka huu huko kati kati mashindano yaanze, mpaka tufike makundi basi ujue huu uzi tushausahau kitambo.Kwani mpaka kuwe na mashindano
Ila karibu jumamosi Kule Congo Kuna mpira mwingi mno utapigwa kule na vijana wa MO wale VITA watakuwa AMANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo naingia kwa Mchina. Kama kawaida bi ushindi tu. Hakuna magoli ya offside.Mwadui anakusubiri taifa Leo umejipanga? Maana nasikia makambo kazima simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Bado una Ni include Mimi mchambuzi huru kwenye mashabiki wa SimbaNdio. Sababu hadi mwaka huu huko kati kati mashindano yaanze, mpaka tufike makundi basi ujue huu uzi tushausahau kitambo.
Nasubiria nione mtakavyopata kichapo japo wewe huwa ni mmoja wa wale ambao simu zao zinakosa mtandao saa ya Mechi. Mpaka najiuliza ndio uoga ama? Sababu huonekanagi humu.
Hahahaaa. We jitowe tu.Mbona Bado una Ni include Mimi mchambuzi huru kwenye mashabiki wa Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona povu mkuu😂😂hao waarabu koko si ndo mliwaambia waje na wachezaji tu washabiki watawakuta huku...hiyo ni record tuHahaahhaa Mikia bana kweli nyie ni Mambumbumbu. Yaani kumfunga yule Mwarabu Koko wa Pemba ndio mnajiona ndio mmefika. Jumamosi si mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo poa Sana sema nimekumissHahahaaa. We jitowe tu.
Mzima lakini Swahiba?