Ningeshangaa sana kama nisingekuona kwenye huu uzi wa kumsifia Dai,Bei anayoiweka kwenye show yake ni nyingi na still anapata watu wengi hiyo ameweza kwa kweli, kwa usawa huu kiingilio cha chini unaweka 50,000 we unaona kazi ndogo na hapo ni mkoani
Tanzania tuna shida ya akili na ndio maana mpaka Sasa Kuna uchadema na uccm nilitegemea utakuja na hoja badala yake umejikita kwenye assumption kwamba Ninapenda msaniiNingeshangaa sana kama nisingekuona kwenye huu uzi wa kumsifia Dai,
Hivi yule mwenzako sinza pazuri alipotelea wapi?
Usinifokee tu naumwa sikio.
Kumbe mna shida ya akili huko? Basi ndio maana imekuchoma wakati mimi nimeandika jambo la kawaida tu,Tanzania tuna shida ya akili na ndio maana mpaka Sasa Kuna uchadema na uccm nilitegemea utakuja na hoja badala yake umejikita kwenye assumption kwamba Ninapenda msanii
WEWE unataka tubishane na Mimi hiyo kitu sinaKumbe mna shida ya akili huko? Basi ndio maana imekuchoma wakati mimi nimeandika jambo la kawaida tu,
Basi siku mkimaliza hilo tatizo la akili,urudi tena hapa kujibu comment yangu bila masikitiko.
Dah! kumbe ulikua unawaza issue za kubishana!WEWE unataka tubishane na Mimi hiyo kitu sina
Wewe hujaja kwa Hilo lengo kama ingekuwa ni hivyo ungejikita kwenye madaDah! kumbe ulikua unawaza issue za kubishana!
JF hatubishani bali hua tuna fahamishana na kuelimishana.