DOKEZO Hii RUSHWA iliyopelekea ENEO la Namanga Makangira Msasani kuruhusiwa kujengwa Maghorofa ni sh. ngapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi wanatoa?

Mh waziri sisi tulio kuwa wakzi miaka mingi maeneo ya Namanga msasani TUNATAMBUA yakuwa UJENZI wa majengo aina ya ghorofa maeneo yake kulikuwa hakuruhusiwi ndio maana ukifika pale Bar ya kimicho ya ZAMANI Kuna DUKA la DAWA enzi hizo lilikuwa Lina funguka milango lenyewe mwenye lile DUKA aliweka ramani ya kujenga ghorofa mwishowe alizuiliwa kujenga ghorofa enzi hizo kwa madai yakuwa Hali udungo wa pale haifai kujengwa ghorofa Sasa nauliza udongo umebadilika sasahivi?

Hii ni RUSHWA hata kama wapemba ndo wanao yajenga wakiwa na vigogo wa serikali sio vyema kubadili matumizi ya ramani za majengo kwa sababu za kirushwa RUSHWA .
 
Mkuu labda kuna technology mpya inayowezesha hayo kufanyika.

Otherwise, Nchi sasa hivi imefunguliwa, Taifa limekuwa la kambale, Kila mtu ana ndevu na anataka akisema iwe ndio FINAL.

Siku ghorofa likianguka ndio tutajua rushwa ilikuwa kiasi gani, kwasasa tuwe wapole maana kelele hazisaidii lolote awamu hii.

Be a Man, yajue ya kuzingatia ili usije potea kusikojulikana.
 
Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi wanatoa?

Mh waziri sisi tulio kuwa wakzi miaka mingi maeneo ya Namanga msasani TUNATAMBUA yakuwa UJENZI wa majengo aina ya ghorofa maeneo yake kulikuwa hakuruhusiwi ndio maana ukifika pale Bar ya kimicho ya ZAMANI Kuna DUKA la DAWA enzi hizo lilikuwa Lina funguka milango lenyewe mwenye lile DUKA aliweka ramani ya kujenga ghorofa mwishowe alizuiliwa kujenga ghorofa enzi hizo kwa madai yakuwa Hali udungo wa pale haifai kujengwa ghorofa Sasa nauliza udongo umebadilika sasahivi?

Hii ni RUSHWA hata kama wapemba ndo wanao yajenga wakiwa na vigogo wa serikali sio vyema kubadili matumizi ya ramani za majengo kwa sababu za kirushwa RUSHWA .
Boy! Calm down.
Watching you from above
 
Siri ni urefu wa kamba yako tuu!
 
Back
Top Bottom