MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
- Thread starter
- #21
Huo ni uongozi wa chama cha siasa nchini Tanzania!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni uongozi wa chama cha siasa nchini Tanzania!
Zinafanana na hiyo tofauti ni kuwa kule wamejaa wagalatia watupu!Hata wewe unaweza kuweka!
Kwani kuna chama cha siasa kilicho balance dini miongoni mwao hapa Tanzania?Idea ya yule kijana ilikuwa ni kushika ngome ya waumini fulani, halafu atumie kila hila kuunganisha ngome ya imani nyingine ili kukibwaga chama tawala. Lakini hiyo idea imekuwa nzuri kwenye ndoto tu, kuliko kwenye uhalisia wa siasa za nchi hii.
Hii inahusiana nini na uongozi wa ACT-Wazalendo?Nabii adamu mpaka nabii mohamed wote walikuwa waislamu manabii wote walikuwa waislamu sio wakristo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatambuliki mtu kuwa ni muislamu kwa majina tu! Kuna aqida,kutekeleza nguzo za uislamu na za imani,kutokula riba na mengine yapo mengi tu,afadhali hata ungesema majina ya waswahili,duh! Jamii zingine zimejaa chuki za ajabu!All muslim party, any way ngoja tuone mwisho wake.
Kwani wakristo wamezuiwa kujiunga na hicho chama? Karne hii bado mnatumia mbinu outdated za kidini!? Kwa kizazi hiki mmekwama maana vijana wa sasa wala hawajali sana hizo dini. Mtatumia sana vyombo vya dola kuendelea kusogeza siku za kukaa madarakani, lakini kwa mbinu hizo hamumpati kijana yoyote zaidi ya wazee.
Nakubaliana na wewe!Sasa kama hawakupatikana wagombea zaidi ya hao ulitaka wafanyeje?!
Au wakaokote watu mtaani ili tu wakuridhishe wewe!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii comment umeiwazaje aisee ?ACT ni kama ball boys tu wametinga jezi na njumu kali halafu kazi yao ni kuokota mipira tu
Vipi wewe leo umelipwa, au umeenda kopa unga kwa mangi!.Huu ni uongozi wa Madrasa au chama cha siasa cha kitaifa
USSR
Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baaya ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif
Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani
Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.
Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:
Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga
Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo
Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud
Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani
Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe
Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo
Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid
Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande
Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor
Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda
Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.
Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Alisema Babu yakua "akitokea mtu akawa anakuzidi kwa kila kitu lakini bado anakuchukia, huyo hakuchukii bali anakuogopa kwakua anaona uwezo wako ambao yeye anautamani lakini hawezi kuupata"Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baaya ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif
Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani
Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.
Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:
Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga
Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo
Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud
Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani
Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe
Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo
Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid
Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande
Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor
Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda
Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.
Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Upinzani wanaenda vitani na silaha walizonazo!Ndo maana CCM itaendelea kuongoza tu miaka na miaka. Upinzani wamezidiwa sana kimkakati hadi wanakatisha tamaa.
Wewe nawe!Sisi tunaiona imesheheni watanzania, kama umeiona tofauti sema ww tofauti iliyopo na useme ulitaka iweje.