Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Niliwahi kuhudhuria mkutanowa chama kimoja cha siasa wakati kwa mara ya kwanza proph. Ndio mgombea wa hicho chama , wafuasi wote walikuwa wameka chinii na akiongea pointi mmoja anatamka neno fulani ambalo hutamkwa kwenye dini pale linapoongewa neno la kuwafurahisha kisha wote wanajibu wa sauti....... baadaye proph alipambana ikashindikana na nilimwona amealikwa siku moja kwenye nyumba moja ya ibada kwa mbwembwe kuu.... he!!!!!!!!!!!!!!!!!!! sasa wale wafuasiwake mbona tena wamegeuza uelekeo? .... kuna wengine waligawanyika kwenda na yule mwenye nywele sasa vipi... hakieleweki
 
Idea ya yule kijana ilikuwa ni kushika ngome ya waumini fulani, halafu atumie kila hila kuunganisha ngome ya imani nyingine ili kukibwaga chama tawala. Lakini hiyo idea imekuwa nzuri kwenye ndoto tu, kuliko kwenye uhalisia wa siasa za nchi hii.
Kwani kuna chama cha siasa kilicho balance dini miongoni mwao hapa Tanzania?
 
Mkuu vyama pinzani vina kazi sana.

Yaani vinataka vizoofishane vyenyewe kwanza ndipo.


Mshindi atakaye patikana ndiye amponde ponde JITU CCM kweli?


WAPUUZI HAWA WANAFIKILIA MATUMBO YAO SHIDA ZETU ZIWAVIMBISHE.


 

Kwa Unafiki na Upuuzi uilioko huko Upinzani sioni aibu wala uwoga kusema kwamba kuna uwezekano CCM ikatawala mpaka pale Yesu Kristo atakapokuja tena au Dunia ikipinduka. Udhaifu na Uzandiki wa Wapinzani nchini Tanzania ndiyo Mafanikio ya Kudumu ya CCM. Kama kuna Wapinzani watakuja Kuitawala Tanzania basi labda ni baada ya Miaka Elfu Hamsini ( 50,000 ) ijayo.
 
Alisema Babu yakua "akitokea mtu akawa anakuzidi kwa kila kitu lakini bado anakuchukia, huyo hakuchukii bali anakuogopa kwakua anaona uwezo wako ambao yeye anautamani lakini hawezi kuupata"

Pumzika kwa amani BABU yangu ulitizama mbali sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tunaiona imesheheni watanzania, kama umeiona tofauti sema ww tofauti iliyopo na useme ulitaka iweje.
Wewe nawe!

Kwani kuna chama cha siasa nchini ambacho kina viongozi sio watanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…