Hii sasa ni Dharau kwa MaMiss wetu....

Mbona amuelewi mkiambiwa "VYUMA VYUMA VYUMA" mnatakiwa muelewe
 
sasa kutembea jukwaani tu masaa matatu.. wapewe kiwanda?

dharau zipo nyingi tu watu wanafanya kazi ngumu na za akili nyingi ila malipo kiduchu
do! nimecheka sana majibu huwa mnayatoa wapi?
 
sasa ikiwa kipindi hiki mashabiki hamtaki kwenda kuangalia tena na wadhamini wanaendesha biashara kwa hasara sasa unategemea zawadi zinaweza kuwaje?
achukue hicho kigari akiuze milioni tatu anunue mpunga aweke store kisha siku zijazo auze mpunga anunue gari.
 
so wameshindwa hata kunyoosha kidogo hilo bamba hapo.
 
Hao Ma miss wenyewe warefu kuliko hiyo gari.
 
Hao warembo wengi wao wanatoa nyapu kwa buku kumi,hiyo gari ni surprise kwa atakayeshinda,msidharau zawadi
 
Wenyewe unaona wanatabasamu kuonesha wanavyolipenda!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…