Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
do! nimecheka sana majibu huwa mnayatoa wapi?sasa kutembea jukwaani tu masaa matatu.. wapewe kiwanda?
dharau zipo nyingi tu watu wanafanya kazi ngumu na za akili nyingi ila malipo kiduchu
[emoji91] [emoji91] [emoji23] [emoji23]Mbona kigari kimefungaa spea tairi 4???
Haaahaaaaa...uwiisasa kama unaweza pita jukwaani nusu uchi Kwa nn usidharaulike kupewa uchafu uliokuwa store
kamepigwa 🙂
Mbona kigari kimefungaa spea tairi 4???
Kwa kuwa ni huko hakuna shida kabisa.
ndo hivyo, alafu unajua una jina kama la dada yangu?Haaahaaaaa...uwii
Daaah nimecheka sana hii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha, anaweza kukauza kama skrepasasa kutembea jukwaani tu masaa matatu.. wapewe kiwanda?
dharau zipo nyingi tu watu wanafanya kazi ngumu na za akili nyingi ila malipo kiduchu