Hii sasa ni Dharau kwa MaMiss wetu....

Empty set wanakenua tu kwa hicho ki picha cha gari
 
[emoji16][emoji16][emoji16] kama gari la mkaa trip moja shamba trip gereji icho ki baby walker kutu tupu.
 

Mbona iko poa tu. Unless unambie ni mbovu!
 
Hiyo gari hata bure sitakiiiiiiii
 
Hahahaha gari imekataliwa,
Na hao waandaaji wa shindano huwa hawajipangi kuhusu utoaji wa zawadi,au kuna upigaji
 
Acheni utan jaman hiv umiss ni kipaji? Mbona ni wauza papuch tu ho? Au hdio vipaji vya dunia ya leo?
 
Wapokeaji wasuse wasikubali kuchukua gari hiyo kisu hicho kitamuua mtumiaji bora kuacha kabisa kuliko kupokea tetenasi hiyo
Do you think kuna mwenye guts hizo?

Kumbuka these are just little girls just stepping out of their teens and from under their parents wings.


Gari hainijalishi sana kama kuwaza are they really ready for the price to pay that comes with fame from such exposure?
 
Wamekibadilisha! Afadhali na huyu,maana yule miss Tz 2016 Dianna Edward walitaka kumzima kabisa,ila baada ya kelele nyingi za wadau ndipo mwaka jana wakampa ka swift ikiwa ni mwaka mzima tokea avikwe taji hilo! Basata kimya, hilo hapo ndiyo jipya la miss lake zone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…