Hii sensa inatutoa jasho kwakweli!

Hii sensa inatutoa jasho kwakweli!

Marathon day

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
643
Reaction score
1,016
Yani sensa, nimeamka tangu saa 12 asubuhi najua watafika fasta nisepe zangu. Familia Iko mkoa na mimi nipo peke yangu home, kifatacho ikifika saa 6 kamili mchana nafunga mlango na mageti nasepa kwenye mishe zingine!

Nawaza niandikie number za simu getini? Tatizo vishkwambi vyao vimewezeshwa na talk time? Hii naona itakuwa changamoto kwa watu wengi.
 
Yani sensa nimeamka tangia saa 12 asubuhi najua watafika fasta nisepe zangu, familia Iko Mkoa na Mimi nipo pekeyangu home, kifatacho ikifika saa 6 kamili mchana nafunga mlango na mageti nasepa kwenye mishe zingine! Nawaza niandikie number za simu getini? Tatizo vishkwambi vyao vimewezeshwa na talk time? Hii naona itakua changamoto kwa watu wengi
Acha taarifa zako kwa jirani.
 
Back
Top Bottom