Hii sensa inatutoa jasho kwakweli!

Hii sensa inatutoa jasho kwakweli!

Yani sensa, nimeamka tangu saa 12 asubuhi najua watafika fasta nisepe zangu. Familia Iko mkoa na mimi nipo peke yangu home, kifatacho ikifika saa 6 kamili mchana nafunga mlango na mageti nasepa kwenye mishe zingine!

Nawaza niandikie number za simu getini? Tatizo vishkwambi vyao vimewezeshwa na talk time? Hii naona itakua changamoto kwa watu wengi.
Zoezi ni siku 7 kuwa mvumilivu
 
Aaah mi nishasepa
 
Na hii mvua ningekuwepo home,wangegonga mpaka,wangegonga tena,

Ninhelala zangu,ata hivyo dogo ataniwakilisha,watagonga sana
 
Subiri, utakosa mambo Mazuri! Kuna kifaa Cha Maana kinakuja, mvumilivu hula mbivu! Na akija tu mvua inaanza kunyesha....
Nitashtakiwa na jamhuri Kwa kukwamisha zoezi, usikute vishkwambbi vimetrakiwa kikawa kinasoma kwangu zaidi ya masaa manne
 
Hii ni saa sita kamili sijaona afisa wa sensa tofauti na sensa iliyopita.

Mbwembwe zote na gharama za kuandaa sensa, badala ya kutumia wajumbe wa nyumba kumi kupata idadi halisi ya watu, ni kichekesho cha karne.

Tusikubaliane kukubaliana kuwa sensa ni moja ya mbinu za upigaji wa Hali ya juu kwa ngazi za juu, na watendaji katika Idara zote.
 
Kuna makaratasi tena?
Mi wamenipa karatasi nimejaza majina matatu na wanafamilia wangu na nida namba nimeambiwa toka asubuhi ndio wako nyumba ya nne huko so wameamua kujiongeza.Watajijua wenyewe hukoo ngoja nikatafute mali kwanza niitibu.
 
Back
Top Bottom