Hii serikali haina pa kupeleka vishkwambi wanawatupia Walimu

Habari!
Niliposoma habari ya vishkwambi kupewa walimu ili wakakuze TEHAMA nimeendelea kuwahurumia hawa watumishi ambao wamegeuzwa mpira wa Kona.
Hiyo TEHAMA itakua vipi kwa kutumia vishkwambi?
Serikali isikwepe majukumu yake, wanunue vifaa kamili vya kukuza TEHAMA kwa wanafunzi.
Naunga mkono hoja ... mimi nimesoma IT ... Kishkwambi kitamsaidiaje mwalimu katika kuendeleza TEHAMA ?

Kama kufundishia nashauri wanunuliwe fully package zikiwemo projector computer ...

Au wanawafuta machozi ya nyongeza ya ile asilimia iliyotajwa?

Aliyeshiba hamjui mwenye njaa ... naomba kuishia hapo
 
Habari!
Niliposoma habari ya vishkwambi kupewa walimu ili wakakuze TEHAMA nimeendelea kuwahurumia hawa watumishi ambao wamegeuzwa mpira wa Kona.
Hiyo TEHAMA itakua vipi kwa kutumia vishkwambi?
Serikali isikwepe majukumu yake, wanunue vifaa kamili vya kukuza TEHAMA kwa wanafunzi.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom