Hii serikali haina pa kupeleka vishkwambi wanawatupia Walimu

Na bado kuna laptop tunadai tuliahidiwa kwenye kampeni, tunasubiria pia....
Ahadi si alitoa mwendazake, ma samia atasema hakuwa yeye,
kama kwenye corona mwenzake hakuvaa barakoa kuwa hakuna corona nae akapiga kimya, kisha marehemu aliporehemishwa nae akaja na barakoa na kumkana mgombea mwenza wake kwa wazi wazi 😂unategemea nini?
 
Na bado kuna laptop tunadai tuliahidiwa kwenye kampeni, tunasubiria pia....
Ahadi si alitoa mwendazake, ma samia atasema hakuwa yeye,
kama kwenye corona mwenzake hakuvaa barakoa kuwa hakuna corona nae akapiga kimya, kisha marehemu aliporehemishwa nae akaja na barakoa na kumkana mgombea mwenza wake kwa wazi wazi unategemea nini?
 
Kwahiyo tumedhulumiwa?!
 
Habari!
Niliposoma habari ya vishkwambi kupewa walimu ili wakakuze TEHAMA nimeendelea kuwahurumia hawa watumishi ambao wamegeuzwa mpira wa Kona.
Hiyo TEHAMA itakua vipi kwa kutumia vishkwambi?
Serikali isikwepe majukumu yake, wanunue vifaa kamili vya kukuza TEHAMA kwa wanafunzi.
Watapigwa roba wote witaishia mikononi mwa panyaroad
 
Back
Top Bottom