makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ahadi si alitoa mwendazake, ma samia atasema hakuwa yeye,Na bado kuna laptop tunadai tuliahidiwa kwenye kampeni, tunasubiria pia....
Ahadi si alitoa mwendazake, ma samia atasema hakuwa yeye,Na bado kuna laptop tunadai tuliahidiwa kwenye kampeni, tunasubiria pia....
Kwahiyo tumedhulumiwa?!Ahadi si alitoa mwendazake, ma samia atasema hakuwa yeye,
kama kwenye corona mwenzake hakuvaa barakoa kuwa hakuna corona nae akapiga kimya, kisha marehemu aliporehemishwa nae akaja na barakoa na kumkana mgombea mwenza wake kwa wazi wazi unategemea nini?
Serikali ya ccm ni serikali sikivu 😁 nna matumaini nayo ahadi zote zitatekelezeka, laptop na mil 50 kila kijiji bado tunasubiriaUsitegemee kupata hata kiswaswadu
As pilot plan HONGERA KWA SEREKALI YETU.Ni kweli serikali inatakiwa kuprovide vifaa husika kwa ajili ya kukuza tehama, lakini sioni kama ni vibaya kuwapa walimu hivyo vishikwambi
Watapigwa roba wote witaishia mikononi mwa panyaroadHabari!
Niliposoma habari ya vishkwambi kupewa walimu ili wakakuze TEHAMA nimeendelea kuwahurumia hawa watumishi ambao wamegeuzwa mpira wa Kona.
Hiyo TEHAMA itakua vipi kwa kutumia vishkwambi?
Serikali isikwepe majukumu yake, wanunue vifaa kamili vya kukuza TEHAMA kwa wanafunzi.
Wizala ndio niniFor your information, NBS waliazima vishkwambi kutoka wizala ya Elimu
Soma msg yangu vizuri, then uliza swali sahihiHaya. Tueleze jinsi vishkwambi vitakavyokuza somo la TEHAMA