MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi ) kunakopelekea performance ya Timu kuzidi tu kuwa mbaya.
Tafadhali Kocha wa Simba SC Roberto Olivieira aambiwe kuwa wana Simba SC hatuhitaji Shangilia yake ya Kimihemko na kutaka Huruma ya Sisi Mashabiki bali tunataka kuiona Simba SC yetu inacheza Mpira mkubwa, inashinda Convincingly na hatufanyi Mashabiki kila mara kuwa Roho Juu Juu huku tukikumbatia tu Kende ( P ) zetu ili tusifungwe.