Kigogo sambusa mkuu,karibu.Nielekeze unaakochomea vitumbua niwe mteja wako
Nataka la mimi mwenyewe niende show room kulipia kwa pesa zangu ninazozipata kwa kuuza vitumbua and not otherwise.Unataka gari dada?
Hahahahahahah!! Kichwa cha chini kimemzidi kete kichwa cha juu !!!Nachoma vitumbua,acha kuwaza chini muda wote.
Humu ndani siku hivi watu story za masuper star wa mtaani kwao wanazifanya za Tanzania nzima.. Young D namjua ni msani wa music.. Ila sasa huyo Mwana dada..ndio simjuiHahahahaaa hata mimi nilikuwa simjui mkuu zaidi ya kumsoma warumi huku akimuongelea.
He he he.. Hata Mimi nilidhani unamaanisha huko chini eti..Nachoma vitumbua,acha kuwaza chini muda wote.
Ha ha ha ha haTunda anafanya kazi gani?
Wameacha kumbebesha sembe?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha jamaniUna vitumbua vingap dada?
Huyo said waliishaachana, said ni muuza unga alikua amempangishia masogange south na ndo alikuaga msela wake, tunda akamkwapua ikawa bifu bifu nlikua hata simjui tunda nikatamani kumuona make masogange na ule mzigo pale nyuma kuporwa si jambo dogo ukizingatia ule mzigo ni bidhaa pendwa mjini mmmh kumuona tunda nikachoka kweli jamaa kaacha range kafata vitsSi kuna njema moja linaitwa said. Ndio lilikuwa linafumua marinda
Sijui saidi anajishughulisha na nini
Vitumbua au kitumbua chako?Hata sijaona,ila warumi alishasema Tunda anawekwa na wanaume wengine mjini,Young D hana uwezo wa kumtunza.
Halafu si nilisikia wameachana?
Kweli umalaya unalipa,mimi na vitumbua vyangu sijui nitamiliki gari lini!
Tunda ni video queen, mjini ukitokea tu kwenye kideo ukatupia na vipicha picha vya uchi instagram tayari ushakua staa.... Picha ya tunda na young dHumu ndani siku hivi watu story za masuper star wa mtaani kwao wanazifanya za Tanzania nzima.. Young D namjua ni msani wa music.. Ila sasa huyo Mwana dada..ndio simjui
Mkuu samtymz tunakimbilia vitz maana hapa mjini hatukosi parking kutokana na udogo wake, range samtymz parking ni sheeedaHuyo said waliishaachana, said ni muuza unga alikua amempangishia masogange south na ndo alikuaga msela wake, tunda akamkwapua ikawa bifu bifu nlikua hata simjui tunda nikatamani kumuona make masogange na ule mzigo pale nyuma kuporwa si jambo dogo ukizingatia ule mzigo ni bidhaa pendwa mjini mmmh kumuona tunda nikachoka kweli jamaa kaacha range kafata vits
hahahaha mkuu apeche alolo ndo nin??Young Dar es salaama huyu huyu,yuko choka mbaya hajitambui na kwa sasa anakula unga kama kuku,amekuwa apeche alolo, maisha ya wasanii yanaenda kisaniii sanii, jana nimemuona nay wa mitego m/city yuko na bajaji kanaitwa PORTE lakini msikilize kwenye redio akiongea anajidai ni tajiri wa kufa mtu
nilikushauri uvushe vitumbua vyako mpk sokop la amerika na yuropu, hutaka kuskia, endelea kupinga MABADILIKO, utabaki hapo hapo!Hata sijaona,ila warumi alishasema Tunda anawekwa na wanaume wengine mjini,Young D hana uwezo wa kumtunza.
Halafu si nilisikia wameachana?
Kweli umalaya unalipa,mimi na vitumbua vyangu sijui nitamiliki gari lini!