Huyu young d si ndiyo anaewekwa mjini na wanaume? S.Africa ndiyo anako binuliwaga
Hahahahaaaa kaka nimecheka sana ujue?nilikushauri uvushe vitumbua vyako mpk sokop la amerika na yuropu, hutaka kuskia, endelea kupinga MABADILIKO, utabaki hapo hapo!
Hahahahaaaa kaka nimecheka sana ujue?
Miss you more kaka,naumwa kichwa acha tu.btw: nimekumiss dada! mambo vipi?
Miss you more kaka,naumwa kichwa acha tu.
Sijui ni huu umbea niliopiga siku 3 mfululizo 24/7?
Subiri nikucheki PM.
Okey ndio huyooooo kumbe.... picha ina 4days lakini ina likes 27 tuuuu..... AsanteView attachment 315570
Tunda ni video queen, mjini ukitokea tu kwenye kideo ukatupia na vipicha picha vya uchi instagram tayari ushakua staa.... Picha ya tunda na young d
Hiyo sio account yake ni mdau wake ila tunda ndo huyoOkey ndio huyooooo kumbe.... picha ina 4days lakini ina likes 27 tuuuu..... Asante
Hata sijaona,ila warumi alishasema Tunda anawekwa na wanaume wengine mjini,Young D hana uwezo wa kumtunza.
Halafu si nilisikia wameachana?
Kweli umalaya unalipa,mimi na vitumbua vyangu sijui nitamiliki gari lini!
Haina shida dada ila nadhan ww ndo umewaza chini, nilikua Namaanisha hivo vitumbua unavyochoma umebakiza vingap dada?nilitaka nikuunge
nifahHaya mambo ni wewe tu!Ukitaka asiyekupa pressure, tafuta wale wanaosuka mabutu au twende kilioni. Si kwamba ndo utasalimika; kugongewa kupo pale pale sema rai watagonga ki-staff-- kimya kimya. Ukitaka watoto wazuri wa mjini, lazima watu wakumegee kwa mbwembwe na visa... na lazima ujue kwamba watu washakumegea unless kama maskani yako ni msikitini au kanisani. Ukiwa na mkwanja mrefu peke yake utagongewa na ma-star... watoto wazuri wa mjini hawana maana! Mzee Machache na vumba lote lile bado watu wakamgongea-- na wala hawakuangalia kwamba huwa anasaidia walemavu!! Lakini ukiwa star vile vile bado utagongewa tu-- Diamond na ustaa wake wote ule akashitukia gari tu inaletwa kwa my beautiful Onyinye wake!!! Na kama ustaa wenyewe hata mavumba huna, basi ndo taabu maradufu! Kama ni mwanamuziki subiri ugongewe na producer sawa na Juma Nature kwa P Funk na kama upo Bongo Movie subiri tu umuone demu wako anafanya kazi na producer yule yule uliyefanya nae kazi!
Kupanga ni kuchagua... kama wapenda vya peke yako, nunua sex toy liweke chumbani! Na kama unaishi na matoto matukutu yenye balehe changa basi make sure husahau mlango kufunga unapoenda kwenye pilika vinginevyo huko nako hesabu umeumia... lazima wakugongee!
Una umri gani kijana?!samahani hapo kwenye vitumbua patolee ufafanuzi kidogo panautata.je ni vile vitumbua viwili vya kutolea haja kubwa na ndogo au vile vya watoto wa chekechea wanavyokula?kitumbua siku hizi ni tungo tata.naomba majbu ila usinkaripie eti nifah ee!
Sipendi kitumbua chenye mafuta mengi mm,kinanikera kweliHata sijaona,ila warumi alishasema Tunda anawekwa na wanaume wengine mjini,Young D hana uwezo wa kumtunza.
Halafu si nilisikia wameachana?
Kweli umalaya unalipa,mimi na vitumbua vyangu sijui nitamiliki gari lini!
Hahahaha hapa umbea tuMama mchungaji kwenye hii thread nimekukubali!
Maana wewe na nifah mmeipeleka na imegoma kuisha, ubuyu juu ya ubuyu.