Hii shoo kasimamia Young D ama?

Hata sijaona,ila warumi alishasema Tunda anawekwa na wanaume wengine mjini,Young D hana uwezo wa kumtunza.
Halafu si nilisikia wameachana?

Kweli umalaya unalipa,mimi na vitumbua vyangu sijui nitamiliki gari lini!
Vitumbua,Au kitumbua?Au nawe unatoa vyote viwili?
Natarajia jibu murua
 
He! hicho kidem mbona hakina hata mvuto aaah! Muwe mnaleta ubuyu wa madem wazuri wazuri basi
 


Alaaaa kwahiyo dogo hajamtunuku huo mkoko alafu mjini sio kuzuri nasikia young D anatoa jicho
 
Si kuna njema moja linaitwa said. Ndio lilikuwa linafumua marinda

Sijui saidi anajishughulisha na nini

Said walishaachana kitambo lkn nasikia jamaa alikuwa anambebesha dogo sembe
 
kweli nimeshaanza kuzeeka.. Tunda ndio nani jamani? Ameifanyia nini Tanzania mpk anazungumzwa hivyo?

Kapunda kanabebeshwa vimizigo mjini alafu na kabinti cha sabasita alikuwa mkuu wa nn cjui then part time kavideo queen
 
Raha ya umbea shurt uhangaike we unaona tabu kuhamia thread ingine wakati warumi huwa anapanda gari kwenda kutafuta umbea, kuna siku alilala kwenye msiba usiomhusu (wa Adam kuambiana) ilmradi apate umbea ha ha ha

Daaah warumi nae yupo vizuri sekta hii namvulia namvulia vyoote sio kofia
 
Young dee ni wa kuonewa huruma tu. ..yupo kwenye mtihani mzito acha apunguze stress kwa nyeupe tu
 
Hata sijaona,ila warumi alishasema Tunda anawekwa na wanaume wengine mjini,Young D hana uwezo wa kumtunza.
Halafu si nilisikia wameachana?

Kweli umalaya unalipa,mimi na vitumbua vyangu sijui nitamiliki gari lini!
Una vitumbua vingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…