TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Hawa vijana wamekosa adabu ya akili zao, sidhani kama wanaweza kukosa 5000/- kila siku wakiwa kijiweni kupakia abilia ila ndio vijana wa ovyo tunaoweza kusema samaki moja akioza..!.
Vijana hawa wanatumia pikipiki kwa kuwapora watu jijini Arusha na wanazunguka sana maeneo haya St.Costantine, Burka, kwa mawala, by Pass na barabara ya uwanja wa ndege.
Kwenye sinema pale juu dada mpita njia kaponea chupuchupu kukatwa panga wakati akiporwa ndipo kakimbilia ndani ya shule st. Constantine.
Ambapo inasikitiaha kusikia sauti za walinzi wa hapo shule wakifuatilia tukio, labda wakisubiri huyo dada akatwe ndipo watoe msaada, japo alitoka mmoja baadaye sana.
Juzi kuna mdau aliniambia wana siku kadhaama wamepiga kambi maeneo ya lakilaki.