Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Habarini Wana JF,
Leo mwanangu katoka shule jioni,Ananiambia baba waalimu wamesema kesho twende na Hela ya Nembo kwenye Soksi!Najiuliza maswali,kama ni utambulisho wa mwanafunzi,nani anamacho makali kama darubini ya kusoma Soksi huyu ni mwanafunzi wa shule ya msingi Kisasa _Dodoma?
Soksi hiyo inaupana kiasi Gani hadi Nembo ienee jina?
Nimejaribu kumpigia mwalimu wa shule bila Aibu kajibu ni kweli kabisa!Hizi Dili zingine zikome kabisa.!Hiyo shule ipo Dodoma inaitwa shule ya Msingi_Kisasa.
Nawapongeza kwa kufaulisha wanafunzi vizuri,Ila hili la Nembo kwenye Soksi mmefeli.Kamanda Juma huo sio ukamanda.