Hii si sawa Nembo hadi kwenye Soksi!

Hii si sawa Nembo hadi kwenye Soksi!

Ata kulipa ada kubwa ni kuwawezesha walimu waweze kulipwa vizuri, kwa sababu hatengenezwi mvumbuzi pale wa space y
 
Mimi mwanangu wa darasa la 3 ameagizwa pesa ya jembe. sasa unajiuliza kijana wangu kimo na umri ule jembe jipya ataweza kunifanyia kazi?
 
Habarini Wana JF,

Leo mwanangu katoka shule jioni,Ananiambia baba waalimu wamesema kesho twende na Hela ya Nembo kwenye Soksi!Najiuliza maswali,kama ni utambulisho wa mwanafunzi,nani anamacho makali kama darubini ya kusoma Soksi huyu ni mwanafunzi wa shule ya msingi Kisasa _Dodoma?

Soksi hiyo inaupana kiasi Gani hadi Nembo ienee jina?

Nimejaribu kumpigia mwalimu wa shule bila Aibu kajibu ni kweli kabisa!Hizi Dili zingine zikome kabisa.!Hiyo shule ipo Dodoma inaitwa shule ya Msingi_Kisasa.

Nawapongeza kwa kufaulisha wanafunzi vizuri,Ila hili la Nembo kwenye Soksi mmefeli.Kamanda Juma huo sio ukamanda.
Inawezekana lengo la mwalimu ni watoto waonekane nadhifu zaidi, hiyo ni kawaida tu kwa shule za private huwa wanaweka chapa za shule zao.
Halafu upunguze kushangaa vitu vidogovidogo wakati mwingine omba mwalimu akuonyeshe mfano wa hizo soksi baada ya kuwekwa nembo ungejikuta umezipenda!
elimu ni gharama pambana mwanao apate elimu bora! Kaa mkao wa kusubiri michango ya masomo na mitihani ya ziada.
 
Aisee balaaa
 
Sawa Mkuu!
 
Back
Top Bottom