Hii siku 26/4 na matukio yake ndani ya maisha yangu

Ngoja tusubiri na leo nini kitakutokea.

Ila mkuu ulibatizwa mwaka 2015 kwanini ulichelewa sanaaaa nahisi kama ulibatizwa ukiwa mkubwaaa
 
Amini kwamba Mungu anakusudi na wewe.
 
Yeah nimebatizwa nikiwa mkubwa mkuu.

Maisha yana safari nyingi na ndefu.
Yote heri mkuu Mungu akuepushe namatukio mabaya katika tarehe yako ya mfanano kuzaliwa na masiku mengine yoteee. Sema amina
 
Hii tarehe 26 ndo siku yangu ya Kwanza kulala mahabusu.yaani magufuli anazikwa Mimi nipo ndani[emoji16][emoji16][emoji16].
Nikasema balaa gani hili
 
Hii tarehe 26 ndo siku yangu ya Kwanza kulala mahabusu.yaani magufuli anazikwa Mimi nipo ndani[emoji16][emoji16][emoji16].
Nikasema balaa gani hili
Ilikuwa mwezi gani mkuu.?

Kama mwezi wa 3 vile .???

Havihusiani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…