Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Asteology ni belief systems tu kama dini au uchawi tu wala hakuna scientific proof kuwa astrology inasaidia ku tabiri personality traits, hatima ya mtu, love lives na mambo mengine.70% kila kitu ni imani arifu..% kadhaa ya nyota yangu inavyosema ndivyo nilivyo
Ingekuwa rahisi hivyo mbona watu tusingehangaika kushika mara hili mara lile ilimradi tu kuona ni wapi utatoboa. Tungefata tu utabiri wa nyota kuwa wewe kwakuwa nyota yako ni Simba basi fanya hiki na hiki mambo yatakuwa sawa tu.
Mimi nitakuwa wamwisho kuamini haya mambo.