Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Asteology ni belief systems tu kama dini au uchawi tu wala hakuna scientific proof kuwa astrology inasaidia ku tabiri personality traits, hatima ya mtu, love lives na mambo mengine.70% kila kitu ni imani arifu..% kadhaa ya nyota yangu inavyosema ndivyo nilivyo
Sawa mwamba umeeleweka vilivyo.🥂Asteology ni belief systems tu kama dini au uchawi tu wala hakuna scientific proof kuwa astrology inasaidia ku tabiri personality traits, hatima ya mtu, love lives na mambo mengine.
Ingekuwa rahisi hivyo mbona watu tusingehangaika kushika mara hili mara lile ilimradi tu kuona ni wapi utatoboa. Tungefata tu utabiri wa nyota kuwa wewe kwakuwa nyota yako ni Simba basi fanya hiki na hiki mambo yatakuwa sawa tu.
Mimi nitakuwa wamwisho kuamini haya mambo.
Amezinda !!?Chaliifrancisco njoo basi mwamba utupatie nondo za ukweli.
we sema tu umeona usiendelee kubishana bana 😂Sawa mwamba umeeleweka vilivyo.🥂
Aiseh kubishanaga ndo siwezagi kabisa.😄😄nikiona mabishano yanaanza nagonga zangu 🥂nalala mbelewe sema tu umeona usiendelee kubishana bana 😂
Mimi napenda nibishane na mtu kwa facts ila kama ni porojo ndio siwezi.Aiseh kubishanaga ndo siwezagi kabisa.😄😄nikiona mabishano yanaanza nagonga zangu 🥂nalala mbele
Mimi iwe ni facts isiwe ni facts sipendi mabishano.kama hujanielewa mara moja basi.naweza kukukubalia umeshinda ili kuepusha makeleleMimi napenda nibishane na mtu kwa facts ila kama ni porojo ndio siwezi.
Keki wanakatia ndani huko.Chief zama chumbani we nae.Ahsante sana kwa wishings, be blessed my dear.
Karibu basi uje ukate keki.