Hii Simba SC Haijawahi Tokea.. Yawaadhibu Ipasavyo Mtibwa Sugar.

Ila viungo wa simba waache kupiga square pasi,through pass kwa strikers zilikuwa chache mno
 
Ikiwa lazima dozi...huyu ni mnyama mkali sana

Mkuu uite uwanja wa Uhuru.. hilo jina limepigwa marufuku la shamba
Asante kwa kuweka kumbukumnu sawia Mkuu.
 
Ila viungo wa simba waache kupiga square pasi,through pass kwa strikers zilikuwa chache mno
Nachompendea Kocha bora kabisa kuwahi kushuhudiwa katika ardhi ya Kameruni ni mnyenyekevu na anayependa kushauriwa tofauti na yule toka Uingereza.. Na imani kachukua ushauri wako.
 
Daa afadhali maana washanitabiria kufungwa uingereza na Tanzania
 
Mkuu.. Huyu Mnyama asiye na masikharaha hata kidogo akiwa mwituni kamwe hawezi kukuangusha hata siku moja.
 
Nachompendea Kocha bora kabisa kuwahi kushuhudiwa katika ardhi ya Kameruni ni mnyenyekevu na anayependa kushauriwa tofauti na yule toka Uingereza.. Na imani kachukua ushauri wako.

Sawa Mkuu! Tupo Pamoja..!
Simba Nguvu Moja
 
Back
Top Bottom