Sembo ni stricker hatari kabisa wa mtandaoni.Big up SEMBO! Hua nafarijika sana unavyo wachachafya vyura a.k.a Ndala humu ndani.Infact simba tuna kikosi kizuri japo mapungufu yapo machache.uzuri ni kwamba yanarekebishika.Dogo Ndemla anapaswa kuaminiwa kama Shabalala.Hivyo mda wake uongezwe uwanjani.Bukungu bado sana labda afanye mazoezi mengi,Mavugo tatizo lake ni umakini tu.Kweli kwa simba hii Kesi angekuwepo ange enjoy sana.