Hii Simba SC Haijawahi Tokea.. Yawaadhibu Ipasavyo Mtibwa Sugar.

Hii Simba SC Haijawahi Tokea.. Yawaadhibu Ipasavyo Mtibwa Sugar.

Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni, Simba SC leo ameendelea kutakata kama kawaida yake katika "mbuga" yake ya Shamba la Bibi.
Na hii ni baada ya kuiadhibu ipasavyo timu bora katika VPL, Mtibwa Sugar [achana na wale "wazugaji" Majimaji].

Mnyama kashinda goli 2-0.
Wafungaji wakiwa Ajibu na Mavugoal.. Yaani huyu Mnyama, akikukosa Ajibu, anakupata Mavugoal.

Nadhani sasa mtaa wa pili mmeanza kuelewa ni dozi ya kiasi gani tunaenda kuwanywesha tarehe 01.10.2016.. na mjipange kisawasawa kwa maana dozi tunayoenda kuwapa itakua tofauti na ile ya mwaka 2012.

SIMBA SPORTS CLUB, NGUVU MOJA
Malizeni ligi mapema muende mkashiriki kombe lenu la mto Nile.
 
Nachompendea Kocha bora kabisa kuwahi kushuhudiwa katika ardhi ya Kameruni ni mnyenyekevu na anayependa kushauriwa tofauti na yule toka Uingereza.. Na imani kachukua ushauri wako.
Huyo kocha kazi ilimshinda Azam
 
baada ya miaka mingi kadhaa kupita leo tena nimeangalia mechi mpira wa bongo kwa kweli watu wanapiga soka mpaka mpaka unaona raha ya mpira, niliacha kuangalia kwa sababu kipindi hichi mpira ulikuwa hauvitii hata kidogo kila dakika mtu anatoa mpira nje mpaka inaboa, ila saizi vijana wanapiga kazi.
 
Huyo kocha kazi ilimshinda Azam

Mkuu, Joseph Marius Omog ni kocha ambae aliiwezesha Azam kutwaa taji lake la kwanza baada ya kuhangaika kwa mda mrefu.. Sasa unapata wapi uthubutu wa kusema kazi ilimshinda??
 
baada ya miaka mingi kadhaa kupita leo tena nimeangalia mechi mpira wa bongo kwa kweli watu wanapiga soka mpaka mpaka unaona raha ya mpira, niliacha kuangalia kwa sababu kipindi hichi mpira ulikuwa hauvitii hata kidogo kila dakika mtu anatoa mpira nje mpaka inaboa, ila saizi vijana wanapiga kazi.

Mkuu kwa kua hujaangalia mpira wa bongo kwa mda mrefu, nikuume sikio tu, ukitaka burudani ya uhakika, na kamwe usijutie mda uliotumia.. angalia mechi za Simba SC tu.
 
Na magazeti bora ya michezo nchini, yanauzungumziaje huu ushindo "mnono" wa jana?

1473651228217.jpg


1473651266482.jpg


1473651296219.jpg
 

Attachments

  • 1473651159634.jpg
    1473651159634.jpg
    30.9 KB · Views: 22
Huyu Ajibu ni hatari sana.. Anatupia ndani na nje ya uwanja.

1473653683116.jpg
 
Sembo kama una mke au mpenzi ukimpa hata nusu ya mahaba yako kwa msimbazi basi mwanamke huyo ana bahati sana.
 
Chamazi complex? Kwanini sio shamba la bibi?
Si nilisikia game kubwa hazipelekwi maporini?

Sasa imekuwaje?

Azam walipeleka maombi TFF kua kwa kua uwanja wao umekidhi vigezo vyote.. wanataka mechi zako zote za nyumbani zichezwe katika uwanja wao [ikiwemo za simba na yanga].. Taarifa nilizonazo ni kua wamekubaliwa.
 
Back
Top Bottom