Hii Simba SC Haijawahi Tokea.. Yawaadhibu Ipasavyo Mtibwa Sugar.

Hii Simba SC Haijawahi Tokea.. Yawaadhibu Ipasavyo Mtibwa Sugar.

Sembo ni stricker hatari kabisa wa mtandaoni.Big up SEMBO! Hua nafarijika sana unavyo wachachafya vyura a.k.a Ndala humu ndani.Infact simba tuna kikosi kizuri japo mapungufu yapo machache.uzuri ni kwamba yanarekebishika.Dogo Ndemla anapaswa kuaminiwa kama Shabalala.Hivyo mda wake uongezwe uwanjani.Bukungu bado sana labda afanye mazoezi mengi,Mavugo tatizo lake ni umakini tu.Kweli kwa simba hii Kesi angekuwepo ange enjoy sana.
 
Hahaha
Farajaaaa
Simba kwa kujipa moyo kwa timu gani muifunge Yanga. Ilo beki lenu la Zimbabwe babuu. Juuko bingwa wa kufunga tela kwa ngoma na lufunga ovyoo. Mtibwa simba B tajiri wake nani asiyemjua ni simba damu. Tarehe moja zugeni mnaogopa maandamano ya ukuta

.
 
Ili Ustarehe Mwaka Huu na Usijikere Roho Yako Basi Penda Simba!
Anaebisha Kuwa Simba Siyo Bingwa Mara hii Basi Hiyo Ni Mgonjwa Wa Akili au Ni Katika Wale Wanaofanya Bange ionekane Mbaya.
Naamini Vyura FC wanatafuta Mbinu Ya Kumhujumu Ajib & Mavugo Coz Hawa Jamaa Ni Lazima Wawagegede Wazee Wa "KIMA WA TAIFA" aka Wamadimbwini aka Vyura FC aka Ndala aka Yeboyebo aka Wazee Wa Kukodisha aka Succos Ya Manji.
 
Back
Top Bottom