Ni mabingwa watarajiwa wa;
1. VPL
2. FA Cup
3. Kombe la Mapinduzi
Katika Msimu wa 2016/2017.
Nitaipokea tukipewa hiyo dozi.Pole sana Mkuu, maana baada ya kuwapatia dozi yao ndugu zetu ninyi ndo mnafuata.
Nachompendea Kocha bora kabisa kuwahi kushuhudiwa katika ardhi ya Kameruni ni mnyenyekevu na anayependa kushauriwa tofauti na yule toka Uingereza.. Na imani kachukua ushauri wako.Ila viungo wa simba waache kupiga square pasi,through pass kwa strikers zilikuwa chache mno
Mtani hongereni kwa ushindiHii kasi ni kanyaga twende mpaka ligi iishe.
Kabisa mkuu, hao Makombe yao ni Mapinduzi na Mtani jembeHapo Mapinduzi ndio unaweza ambulia
Acha ushamba wewe ndala, Azam haina mashabiki!Sisi Azam FC tunawasubiria tuwakate mkia
Haina mashabiki kwa mujibu wa nani? Au mpaka uonyeshwe kadi ya uanachama wa Azam ndo uaminiAcha ushamba wewe ndala, Azam haina mashabiki!
Hata ukiwa na kadi, nasema azam haaina mashabiki! Wewe ni ndala, moyoni unajua hilo.Haina mashabiki kwa mujibu wa nani? Au mpaka uonyeshwe kadi ya uanachama wa Azam ndo uamini
Nachompendea Kocha bora kabisa kuwahi kushuhudiwa katika ardhi ya Kameruni ni mnyenyekevu na anayependa kushauriwa tofauti na yule toka Uingereza.. Na imani kachukua ushauri wako.