Hii simping culture imekuwa too much now. Wanaume halisi wako wapi?

Hii simping culture imekuwa too much now. Wanaume halisi wako wapi?

Simp defnition: 'Simp' is slang for a person (typically a man) who is desperate for the attention and affection of someone else (typically a woman)

Sensa 2022 inasema wanawakae ni wengi kuliko wanaume ila kwa ground huku hali ni tofauti aise.

Naamka asubuhi nakuta insta Dm 17, inbox unread 23 whatsap ndo usiseme Jf also never boring.

Kila kaka ukisalimiana nae anageuka comedian.
Wanaume wengi ni desperate for attention, hawajiamini. Akiwa hana hela hujigeuza comedian, akiwa nazo anakuwa hajiamini yeye kama yeye bali anaamini katika hela zake, so ni kuhonga hovyo hovyo tu au kukufanyia show off ujue anazo.
Hizo zote ni inferiority complex.
Men wengi sikuizi ni feminine asf.

Mi napenda mwanaume anayejiamini yeye kama yeye sio kutegemea pesa zake au vichekesho vyake, asiye na shobo na mwenye kujitambua nafasi yake.

Ni heri hata wakurya tata.
Sasa nachofanya nikiona ananiletea pigo za ki'she kujichekesha chekesha kutuma vikopa....nampa ndoige tu za uso, ni vizinga kwa kwenda mbele mpaka akili iwakae sawa.

To prove my point utashangaa wanajaa tena pm.

It seems most men are pussy starving.
Ukweli ni kwamba Wanaume ni wengi kuliko wanawake, unaweza kujiamin na bado mwanamke akakukataa the main point mwanamke mpaka awe na hisia na wewe ndo atamkubalia mwanaume
 
All men are pussy starving it is the law of nature. Ukikuta mwanaume anajiamini yeye kama yeye then hutazami kwa makini mara nyingi wanakuaga wamesifiwa sana na wanawake to the point that they are no longer insecure na hawa wanakuaga watembeza rungu balaaa.
Ushahuri wangu tafuta hao insecure they have something to lose
All men should be like that. Confident and insecure.
Acha sisi wanawake ndio tuwe insecure.
Unakuta kanaume kanashinda kwa kioo ili kaonekane kazuri ukapende.

Hakali vizuri bajeti yote kanamalizia kwenye nguo ili kapendwe au kuhonga.
 
Exactly tangu eden mwanaume kwa mwanamke ni mdhaifu,hao wanaume halisi unaowaulizia ni wa enzi zile za mama zetu wakiwa waadilifu sio zama hizi za mashangazi,sugar dady.
Mara tangu eden, mara tangu zama za mama zetu, Aah unachanganya
 
Miaka 10 ijayo wakati una miaka 34, hizo dm zitapungua sana. Endelea kucheza kwenye mdomo wa mamba.

Hao wanaume unaowaita comedians, wanakufuata dm, nk kuna kitu wanakitafuta kutoka kwako! Na kwa bahati mbaya hicho kitu kitaendelea kupoteza ubora wake, kadiri miaka inavyozidi kwenda.

Time will tell young lady.
Mzee umekariri sana maisha
 
Ukweli ni kwamba Wanaume ni wengi kuliko wanawake, unaweza kujiamin na bado mwanamke akakukataa the main point mwanamke mpaka awe na hisia na wewe ndo atamkubalia mwanaume
Wanaume ni wengi kivipi unabishana na data?
 
Aah most secret new world order orgs consist of mostly men.
Okay. Kukufahamasha tu ni kuwa Feminism ilianzishwa na Mwanamke Mary Wollstonecraft, baada ya kuandika kitabu chake kinachoitwa 'A vindication of the rights of a Woman'

Mwanamke alianzisha kwa ajili ya wanawake wenzie.
 
Wamekufanyaje tena walimwengu

Anyway tulipofikia ni nyinyi wanawake mmetufikisha
 
Okay. Kukufahamasha tu ni kuwa Feminism ilianzishwa na Mwanamke Mary Wollstonecraft, baada ya kuandika kitabu chake kinachoitwa 'A vindication of the rights of a Woman'

Mwanamke alianzisha kwa ajili ya wanawake wenzie.
Na hii feminism kwa ajili ya wanaume alianzisha nani?
 
Back
Top Bottom