KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Sema ndo hivo watoto wa kishua hawawez kukuelewa.Tena kina spidi nzuri tu😅😅
Mb 100 unaweza peruzi jf hata nusu siku au siku nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ndo hivo watoto wa kishua hawawez kukuelewa.Tena kina spidi nzuri tu😅😅
Changamoto betri tu ikianza kuchoka.Tena kina spidi nzuri tu[emoji28][emoji28]
Hapo plus fb bila picha unakuwa unasoma maandishi tu.MBs 50 kwa siku huwezi kuzimaliza kaka😅
Kitambo mkuu kumbe sasahv wameboresha.Picha zinaonekana! Video tu ndo haziplay😀
kwa post kama za jf unaperuzi vizuri sana bila shida yoyote!Kitambo mkuu kumbe sasahv wameboresha.
Inabd nifanye mpango wa kurudi nilikotoka japo mara moja moja maana kipindi hicho nakumbuka nilikuwa najifunza mambo ya astra projection jf kupitia freebasics
Sawa brigedia umetisha 😅😅😅sema nahisi huu utakuwa ubahiliHilo ni bando ninalotumoa kwa smartphone (kwa mambo ambayo hayapatikani kwa kitochi), mengine nayapata huko😝