Hii simu inanirahisishia maisha kwa kiasi fulani, natumia bando la 10k tu kwa mwezi!

Hii simu inanirahisishia maisha kwa kiasi fulani, natumia bando la 10k tu kwa mwezi!

Kweli unabana bando lakini je unapata EXPERIENCE sawa na anyetumia Samsung ya Million 1 au hata Simu ya 400,000 tu ni mbingu na ardhi.

Anyway natumia Infinix Hot 7 na natumia bando Kama lako tu kuperuzi JF na mitandao ya Meta marachache na napata Better User Interface, Good User Experience kwenye kioo kikubwa.

Kama hapa Nina MB 30 nimejiungajana usiku nimepakua mpaka App jana na hapa naperuzi JF hadi usiku.
 
Aisee umenikumbusha mbali Sana kipindi hicho nilikuwaga naperuzi jf( hapo nilikuwa bado Sina account) kwa kutumia kisimu Cha button
 
Back
Top Bottom