Hii sio couple ni Triple ambayo haijawahi kutokea hapa JF

Hii sio couple ni Triple ambayo haijawahi kutokea hapa JF

he he! mwite huyo Inna aje athibitishe kuwa ni wako ama wangu.. walahi hii vita si yakitoto!
 
Nguvu unazo kijana???...Si unajua Mwanaume Mashine
 
"Basi ikawa ijumaa, mida ya alasiri palitokea kijana mmoja anaitwa Ivuga, katika jamvi lile pendwa la chitchat akatoa onyo kali kwa wafuasi wa jukwaa na kuwaambia kuwa ameopoa vigoli wawili, akaendelea kusisitiza kwa onyo kali kuwa atakaewasogelea atakiona cha mtema kuni, wafuasi wale wa jukwaani hawakusadiki maneno yake; wengine wakamuita muhujumu uchumi, wengine wakamwambia una tamaa, wengine wakadiriki kumuita mshika pembe Lakini akabaki na msisitizo wake kuwa anawapenda vigoli wale wawili kwa majina Inna na relato "

Ijumaa 7:7
kwenye ubora wako
 
Back
Top Bottom