Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteHongera
Bwashee hawa watoto ni visuuuubwashee naona konfidensi inakatika... kwanini??
Ama kwa hakika Valentina ni kisu.Ha ha ha haaa
tupo japanTeh teh...We kazi imeshakushinda..Yani una vimwana wawili halafu mida hii upo huku..Au ni Half time
kwenye ubora wako"Basi ikawa ijumaa, mida ya alasiri palitokea kijana mmoja anaitwa Ivuga, katika jamvi lile pendwa la chitchat akatoa onyo kali kwa wafuasi wa jukwaa na kuwaambia kuwa ameopoa vigoli wawili, akaendelea kusisitiza kwa onyo kali kuwa atakaewasogelea atakiona cha mtema kuni, wafuasi wale wa jukwaani hawakusadiki maneno yake; wengine wakamuita muhujumu uchumi, wengine wakamwambia una tamaa, wengine wakadiriki kumuita mshika pembe Lakini akabaki na msisitizo wake kuwa anawapenda vigoli wale wawili kwa majina Inna na relato "
Ijumaa 7:7
Nakuambia uni assist mmoja.Sikuelewi ujue
SikuelewiNakuambia uni assist mmoja.
Joanah si umemteka haji jf tena..Kumbe
Matumizi mabaya ya madaraka kama sio money laundering (utakatishaji Fedha)Ha ha h mkuu kwa hio hapo ninahujumu uchumi wa nchi?