Hii sio fursa ni janja ya Mbowe kutafuta pesa. Yaani tumekuwa mawakala wa kusajili kadi za CHADEMA? Tuko hoi bin taabani

Huo ni mfumo wa kawaida wa usajili ccm walisha anza siku nyingi,Wana ccm waliopo humu watakuwa ni mapambo wasiokuwa na card zae chama Chao,hawajui kuwa ndio mfumo unaotumiwa na chama Chao ndio maana udenda unawatoeka humu.

Hivi nyie CCM si mlisema chadema imekufa na kwamba chama kikuu Cha upinzani kwa sasa ni ACT,iweje mnapoteza muda wenu kupamba na chama mfu kama mwenda zake?
 
Ujinga si sofa wala heshima,.kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha huu ugoro hapa..

chadema inajenga ofisi nchi nzima kila kanda mbona hukulianzishia Uzi?

Kumbuka Chadema haichukui hata senti ya ruzuku... Kuficha ujinga si dhambi
Acha na huyo kamanda asiechoka kwa hisani ya watu wa Lumumba 🤣🤣
 
Ujinga si sofa wala heshima,.kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha huu ugoro hapa..

chadema inajenga ofisi nchi nzima kila kanda mbona hukulianzishia Uzi?

Kumbuka Chadema haichukui hata senti ya ruzuku... Kuficha ujinga si dhambi
Mkuu huyu etwege, mchukulie Pouwa tu, kwa akili yake anafikiri akijiita kamanda, tutamwona mwenzetu!
 
jinga si sofa wala heshima,.kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha huu ugoro hapa..

chadema inajenga ofisi nchi nzima kila kanda mbona hukulianzishia Uzi?

Kumbuka Chadema haichukui hata senti ya ruzuku... Kuficha ujinga si dhamb
Hii ni kwa ajili ya wanachadema tu sio nyie mataga hivyo ni vyema ukawaachia wao CDM.
 
Wewe mbwa alie choka jikite kumlea mtoto uliezaa na Madelu huku Chadema tulikufulusha sasa umalaya wako utakuponza maderu anamke
 
Ruzuku ilikuwa inawaumaa, mkaachiwa , sasa bado zinawauma hela za wanachama wa CHADEMA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…