Hii siyo ramli Ila soon Watanzania Mtapata mnacho kiomba

Hii siyo ramli Ila soon Watanzania Mtapata mnacho kiomba

Kwenye ndoto nimeona nderemo na vifijo vingi sana mtaani kama kuna sherehe
Hachukui muda uchaw ni mwing majin ni meng kuelekea kwake kila siku anapangua majin 10 mpaka 15 yansyoitaj roho yake bado waliodhulumiwa uhai oktoba wanamsumbua ndotoni
 
Haya leta wewe upumbavu wako sasa
Huyo mbulula asikushangaze, nmeonaga comment nyingi zake ni Mpiga Dili ambaye amefaidika sana na utawala huu, hua analikiri Hilo wazi, Sasa mkiongea hivi anakasrika sana mana anajua ulaji wake unaenda mwishoni
 
Hachukui muda uchaw ni mwing majin ni meng kuelekea kwake kila siku anapangua majin 10 mpaka 15 yansyoitaj roho yake bado waliodhulumiwa uhai oktoba wanamsumbua ndotoni
kama kweli hayo ni kweli, Watanganyika nitawavulia kofia!
 
Back
Top Bottom