Hii stail aliyotumia Diamond, kumtakia Heri ya kuzaliwa Rayvany kiboko!!!

Hii stail aliyotumia Diamond, kumtakia Heri ya kuzaliwa Rayvany kiboko!!!

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
IMG_20170822_114056_898.jpg
 
Yule Mange anawivu sijapata ona. Anamiss maisha ya Dubai ya credit card. Unaona kabisa yeye ndio anataka kabisa maisha ya Zari.
Yule Hamisa kilichompeleka kulala na mwanamme wa mtu ni nini. Wanawake wa bongo wanataka mteremko, akome.
 
Yule Mange anawivu sijapata ona. Anamiss maisha ya Dubai ya credit card. Unaona kabisa yeye ndio anataka kabisa maisha ya Zari.
Yule Hamisa kilichompeleka kulala na mwanamme wa mtu ni nini. Wanawake wa bongo wanataka mteremko, akome.
Kuna mwanamke Wa MTU ila hakunaga mwanaume Wa mtu

invest what you are willing to loose
 
Hahaha .... Leo kuku ala Pumba kesho twamla kwa Wali [emoji23][emoji23][emoji23]

Motivation_Ba.D
 
Hahaha hilo tako la zari lilivyokatika kwenye ukuta [emoji23][emoji23][emoji23] jmn si anamme sa show off ya makalio mpka kuweka magodoro ni gan

rap beast
 
Baada ya zari kuachiwa mali nyingi za ivandon ni vigumu kwa Diamond kuchomoka kirahisi rahisi japo ukweli wa mtoto wa hamissa d anaujua

Lakini kwa mtonyo alionao zari kwa sasa D ni lazima aikane tu ile mimba aisee

Ndio maana d aliwatuma wazazi wake na akina esma kwenda hospitalini kumuangalia yule mtoto kama ni damu yake ili ajue mapema kama akanushe au akubali kimyakimya

So inaonekana baada ya akina mama d kutoka hospitali walimshtua d kuwa apotezee yaani sura ya mtoto haifanani nae na ndio maana kipindi cha hivi karibuni hamissa amepanic sana sana sana hadi kumuita mwanae abdul naseeb ilimradi aforce tu watu wajue ukweli

Ila mwisho wa mchezo hapa atakayeumizwa sana kuliko mwenzie ni hamissa cuz kwa mtonyo alionao zari kwa sasa D Hawezi kuchomoka wala kumletea zarau huyu dada na ndio maana d amekuwa akimpost zari kwa nguvu ili ampooze kuwa nothing happen yaani hamissa anajipendekeza tu

Hili liwe funzo kwa hawa akina dada kama hamisa waache kujipendekeza kwa wanaume za watu au maarufu na kuzalishwa hovyohovyo mwisho mimba zinakataliwa

Pia Dai amsamehe baba yake kabla hajachukuliwa na mungu asisubirie siku baba yake kafumba macho ndio akumbuke kusamehe. Yawezekana hata haya yanayomkuta saivi kukataa mtoto ni mungu anamuonyesha kitu au njia ya yeye kumaliza tofauti na baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom