Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mange kama kachungulia hii picha atakuwa katamani vunja simu,
Hbd kwa huyo kijana.
-Ndumilakuwili-
Kuna mtuu kafanya birthday party hapo...?hivi inakuwaje dume zima unafanya birthday party? mi najua hizo ni kwa watoto
Kuna mwanamke Wa MTU ila hakunaga mwanaume Wa mtuYule Mange anawivu sijapata ona. Anamiss maisha ya Dubai ya credit card. Unaona kabisa yeye ndio anataka kabisa maisha ya Zari.
Yule Hamisa kilichompeleka kulala na mwanamme wa mtu ni nini. Wanawake wa bongo wanataka mteremko, akome.
Hahahhaha maana anavyomchukia dai na zari haha hapo huko lazima tumbo linamuuma...hahaMange kama kachungulia hii picha atakuwa katamani vunja simu,
Hbd kwa huyo kijana.
-Ndumilakuwili-
Hao ni wavulana Siyo wanaume.hivi inakuwaje dume zima unafanya birthday party? mi najua hizo ni kwa watoto
Wewe NAYE walewale umefata nini Kwenye post ya kimbeaWanaume nao umbeya I atisha sana
Nimeamini kweli wanaume tuko wachache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] hawapokei alohhahahaha Hapo Mange na Hamisa pengine wamelazwa mwenye namba zao ajaribu kuwapigia ajue wana hali gani?
haaaaa Hamisa atapata pressure. Imagine mtu kakukana wewe na mtoto tena public na wimbo kaimba utakaodumu kwa years.hahahaha Hapo Mange na Hamisa pengine wamelazwa mwenye namba zao ajaribu kuwapigia ajue wana hali gani?