Hii status ya HESLB ina maana gani? Au ndiyo nimwandalie dogo ada mapema tu?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Kwema watu wa Mungu?

Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake.

Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia ada?

NOTE:amechaguliwa SUA kozi ya veterinary medicine.
Screenshot_20221019-185048_Opera Mini.jpg
 
Huyo mkopo atapata, ndiyo maana wamempa na tarehe kabisa ya kuangalia account yake ili kujua alichopewa.
Angekua hajapewa mkopo, wangemuandikia Disqualified for the loan.
Hii ilimkuta mdogo wangu mwaka jana aliandikiwa hivi kwa batch ya kwanza ya pili hakupata akaandikiwa asubiri ya tatu nayo hakupata mpaka leo hajawahi pata na mwaka huu kaandikiwa hivohivo tena
 
Mh bodi ndugu uwa na lugha tamu autoamini batch zikaisha na akakosa mkopo nimepitia haya mateso nayajua na hlo neno disqualified sijui sizani kama kuna akaunt imewai andikiwa hvo alitumiki hilo neno yanatumika maneno ya kushawishi usubir bach ijayo na ikitokea umekosa zote wanakukalibisha kwenye dirisha la rufaa na maneno matamu na ukikosa tena rufaa wanakupa tena maneno matamu ya kujalibu tena mwakani yaani taasisi nsizozipenda hapa ni hao heslb niliomba mkopo miaka mitatu mfululizo fomu zangu zilikua zinapita kwenye verfication Stage tu alafu baada ya hapo napigwa za uso nilitimba hadi makao makuu wapii nashukuru mungu nilimaliza chuo kwa misaada ya wadau, marafiki na depertiment yangu🙏
 
Mdogo wako alichaguliwa kozi gani mkuu?
 
Huenda kuna kaukweli mkuu,leo ndio tarehe 21 yenyewe lakini nimecheck naona hakuna mabadiliko yoyote.
Hivi inawezekana mtu amechaguliwa kusoma kozi yenye first priority mfano veterinary medicine wakamnyima mkopo kweli even if kasoma shule za private kuanzia form 1-6?
Maana wangenisaidia kumpa dogo hata boom tu kwangu mimi ingekua ni msaada mkubwa mno.
 
Punguza wenge,huyo atapata mkopo.
 
Huenda kozi uliyochaguliwa haikua priority mkuu.
 
Hii ilimkuta mdogo wangu mwaka jana aliandikiwa hivi kwa batch ya kwanza ya pili hakupata akaandikiwa asubiri ya tatu nayo hakupata mpaka leo hajawahi pata na mwaka huu kaandikiwa hivohivo tena
Nadhani alichaguliwa kozi isiyo ya kipaumbele.
 
Huenda kuna kaukweli mkuu,leo ndio tarehe 21 yenyewe lakini nimecheck naona hakuna mabadiliko yoyote.
Hivi inawezekana mtu amechaguliwa kusoma kozi yenye first priority mfano veterinary medicine wakamnyima mkopo kweli even if kasoma shule za private kuanzia form 1-6?
Maana wangenisaidia kumpa dogo hata boom tu kwangu mimi ingekua ni msaada mkubwa mno.
Tena unasema kasoma private form1 adi 6 hapo wana assume unauwezo wa kumlipia ada mkopo kitu kikubwa kinachoangaliwa ni economic status ya muombaji kozi priority sio sana aviangaliwi kihivo hapo zidisha maombi mana haya mambo kwa kiasi kikubwa ni bahati ndugu
 
Kuna nasubiri kumuangalizia leo akikosa sijui itakuwaje maana matarajio yote kawekeza hapo mwaka jana alikosa hakuenda chuo Mwaka huu kaweka hadi cheti cha kifo cha baba yake lakini amekosea batch ya 1..
 
Mkuu kwan batch ya pili tayari??
 
Back
Top Bottom