Hii status ya HESLB ina maana gani? Au ndiyo nimwandalie dogo ada mapema tu?

Hii status ya HESLB ina maana gani? Au ndiyo nimwandalie dogo ada mapema tu?

Kupata mkopo sio lazima apate batch y kwanza. Aendelee kusubir Lakin pia ukiona huelew beba hayo mafomu nenda hukohuko bodi katimue vumbi. Wanampa walahi
Poa nitafanya hivyo maana kuna mwamba aliwahi kuingia na vyeti Moja kwa Moja mpk ofisi namba fulani mule na kujielezea wakampa asilimia za kishindo.
 
Poa nitafanya hivyo maana kuna mwamba aliwahi kuingia na vyeti Moja kwa Moja mpk ofisi namba fulani mule na kujielezea wakampa asilimia za kishindo.
Wasenge wale jamaa. Mm nimeona Kwa Macho yangu bi mkubwa kawanywia gongo kaenda kuwavurugia siku wakamwita ndani
 
We umepata batch 2?maana kuna mdau kaniambia batch one ilikua ni kwa ajili ya watu ambao hawana wazazi au wenye mzazi mmoja tu,sijui kama kuna ukweli hapo mkuu?
Sip kweli mimi mdogo wangu amepata batch1 na baba yu hai na mama yu hai pia mimi nimemaliza chuo huu mwaka wa 3 sasa nipo kitaa
 
Hili ni wazo zuri lakini wai kabla batch aizaisha ukichelewa wanakupiga kiswahili tena napajia pale mimi
 
Poa nitafanya hivyo maana kuna mwamba aliwahi kuingia na vyeti Moja kwa Moja mpk ofisi namba fulani mule na kujielezea wakampa asilimia za kishindo.
Mkuu unabidi uende. Pale Helsb na vyeti ao madogo wnabid wawepe 100%
 
Mkuu unabidi uende. Pale Helsb na vyeti ao madogo wnabid wawepe 100%
Alhamdulillah Wote wamepata sasa ,kuna update umetoka now inaelekea wakuu wanapitia uzi huu wamesikiliza maoni 😂😆😂
IMG_20221022_214123.jpg
 
Saizi kwel naona kuna update mpya mdogo wangu alipata batch 1 lakini sasa status imebadilika ety asubili tarehe 27 ni miujiza tupu na uzuri uwaga nascreen shoot kila dakika ninapotembekea sipa yake
 
Huyu wangu sina uhakika tena kama atapata.naona account yake iko vile vile tu aisee..tarehe 27
Duh! inabidi uwe unatembelea mara kwa mara kucheki updates muda bado tujipe imani tu .
 
Saizi kwel naona kuna update mpya mdogo wangu alipata batch 1 lakini sasa status imebadilika ety asubili tarehe 27 ni miujiza tupu na uzuri uwaga nascreen shoot kila dakika ninapotembekea sipa yake
Haya maajabu kabisa bora ulivyoscreenshot kama ushahidi untakapoenda kulalamika.
 
Huyu wangu sina uhakika tena kama atapata.naona account yake iko vile vile tu aisee..tarehe 27.
Huenda kusoma kwake private kumemuangusha
Mwaka jana kuna mwanafunzi mtaani kwetu kasoma Private O_level kapata na kuna mwengine kasoma zote serikali alikosa kapata mwaka huu.

Hivi vitu naona wakati mwingine kama havina formula
 
Back
Top Bottom