Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Kama kaweka cheti cha kifo na form imepita kwenye verfication anapata lakini si mwanafunzi anayeendelea na chuo? Kama ndio wao uwa batch zao zinautofauti kabisa sio hizi zilizoanza toka wao uwa ni batch ya mwisho kabisa hapo za mwanzo wanapewa mwaka wa kwanza wanaoenda anza chuo awe mvumilivu kidogo asubili batch ya tatu ndo inakuwaga na wanafunzi wanaoendelea na chuoKuna nasubiri kumuangalizia leo akikosa sijui itakuwaje maana matarajio yote kawekeza hapo mwaka jana alikosa hakuenda chuo Mwaka huu kaweka hadi cheti cha kifo cha baba yake lakini amekosea batch ya 1..