kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
So niondoe hofu mkuu?Huyo mkopo atapata, ndiyo maana wamempa na tarehe kabisa ya kuangalia account yake ili kujua alichopewa.
Angekua hajapewa mkopo, wangemuandikia Disqualified for the loan.
Hii ilimkuta mdogo wangu mwaka jana aliandikiwa hivi kwa batch ya kwanza ya pili hakupata akaandikiwa asubiri ya tatu nayo hakupata mpaka leo hajawahi pata na mwaka huu kaandikiwa hivohivo tenaHuyo mkopo atapata, ndiyo maana wamempa na tarehe kabisa ya kuangalia account yake ili kujua alichopewa.
Angekua hajapewa mkopo, wangemuandikia Disqualified for the loan.
Aliandikiwa disqualified au?Hii ilimkuta mdogo wangu mwaka jana aliandikiwa hivi kwa batch ya kwanza ya pili hakupata akaandikiwa asubiri ya tatu nayo hakupata mpaka leo hajawahi pata na mwaka huu kaandikiwa hivohivo tena
Hiyo wana andikiwa wote ambao awaja pata batch 1 wala hai husiani na atakae pata next .lolote laweza kutokeaHuyo mkopo atapata, ndiyo maana wamempa na tarehe kabisa ya kuangalia account yake ili kujua alichopewa.
Angekua hajapewa mkopo, wangemuandikia Disqualified for the loan.
Mh bodi ndugu uwa na lugha tamu autoamini batch zikaisha na akakosa mkopo nimepitia haya mateso nayajua na hlo neno disqualified sijui sizani kama kuna akaunt imewai andikiwa hvo alitumiki hilo neno yanatumika maneno ya kushawishi usubir bach ijayo na ikitokea umekosa zote wanakukalibisha kwenye dirisha la rufaa na maneno matamu na ukikosa tena rufaa wanakupa tena maneno matamu ya kujalibu tena mwakani yaani taasisi nsizozipenda hapa ni hao heslb niliomba mkopo miaka mitatu mfululizo fomu zangu zilikua zinapita kwenye verfication Stage tu alafu baada ya hapo napigwa za uso nilitimba hadi makao makuu wapii nashukuru mungu nilimaliza chuo kwa misaada ya wadau, marafiki na depertiment yangu🙏Huyo mkopo atapata, ndiyo maana wamempa na tarehe kabisa ya kuangalia account yake ili kujua alichopewa.
Angekua hajapewa mkopo, wangemuandikia Disqualified for the loan.
Mdogo wako alichaguliwa kozi gani mkuu?Hii ilimkuta mdogo wangu mwaka jana aliandikiwa hivi kwa batch ya kwanza ya pili hakupata akaandikiwa asubiri ya tatu nayo hakupata mpaka leo hajawahi pata na mwaka huu kaandikiwa hivohivo tena
Huenda kuna kaukweli mkuu,leo ndio tarehe 21 yenyewe lakini nimecheck naona hakuna mabadiliko yoyote.Mh bodi ndugu uwa na lugha tamu autoamini batch zikaisha na akakosa mkopo nimepitia haya mateso nayajua na hlo neno disqualified sijui sizani kama kuna akaunt imewai andikiwa hvo alitumiki hilo neno yanatumika maneno ya kushawishi usubir bach ijayo na ikitokea umekosa zote wanakukalibisha kwenye dirisha la rufaa na maneno matamu na ukikosa tena rufaa wanakupa tena maneno matamu ya kujalibu tena mwakani yaani taasisi nsizozipenda hapa ni hao heslb niliomba mkopo miaka mitatu mfululizo fomu zangu zilikua zinapita kwenye verfication Stage tu alafu baada ya hapo napigwa za uso nilitimba hadi makao makuu wapii nashukuru mungu nilimaliza chuo kwa misaada ya wadau, marafiki na depertiment yangu🙏
Punguza wenge,huyo atapata mkopo.Huenda kuna kaukweli mkuu,leo ndio tarehe 21 yenyewe lakini nimecheck naona hakuna mabadiliko yoyote.
Hivi inawezekana mtu amechaguliwa kusoma kozi yenye first priority mfano veterinary medicine wakamnyima mkopo kweli even if kasoma shule za private kuanzia form 1-6?
Maana wangenisaidia kumpa dogo hata boom tu kwangu mimi ingekua ni msaada mkubwa mno.
Huenda kozi uliyochaguliwa haikua priority mkuu.Mh bodi ndugu uwa na lugha tamu autoamini batch zikaisha na akakosa mkopo nimepitia haya mateso nayajua na hlo neno disqualified sijui sizani kama kuna akaunt imewai andikiwa hvo alitumiki hilo neno yanatumika maneno ya kushawishi usubir bach ijayo na ikitokea umekosa zote wanakukalibisha kwenye dirisha la rufaa na maneno matamu na ukikosa tena rufaa wanakupa tena maneno matamu ya kujalibu tena mwakani yaani taasisi nsizozipenda hapa ni hao heslb niliomba mkopo miaka mitatu mfululizo fomu zangu zilikua zinapita kwenye verfication Stage tu alafu baada ya hapo napigwa za uso nilitimba hadi makao makuu wapii nashukuru mungu nilimaliza chuo kwa misaada ya wadau, marafiki na depertiment yangu🙏
Nadhani alichaguliwa kozi isiyo ya kipaumbele.Hii ilimkuta mdogo wangu mwaka jana aliandikiwa hivi kwa batch ya kwanza ya pili hakupata akaandikiwa asubiri ya tatu nayo hakupata mpaka leo hajawahi pata na mwaka huu kaandikiwa hivohivo tena
Tena unasema kasoma private form1 adi 6 hapo wana assume unauwezo wa kumlipia ada mkopo kitu kikubwa kinachoangaliwa ni economic status ya muombaji kozi priority sio sana aviangaliwi kihivo hapo zidisha maombi mana haya mambo kwa kiasi kikubwa ni bahati nduguHuenda kuna kaukweli mkuu,leo ndio tarehe 21 yenyewe lakini nimecheck naona hakuna mabadiliko yoyote.
Hivi inawezekana mtu amechaguliwa kusoma kozi yenye first priority mfano veterinary medicine wakamnyima mkopo kweli even if kasoma shule za private kuanzia form 1-6?
Maana wangenisaidia kumpa dogo hata boom tu kwangu mimi ingekua ni msaada mkubwa mno.
SheriaMdogo wako alichaguliwa kozi gani mkuu?
Kuna nasubiri kumuangalizia leo akikosa sijui itakuwaje maana matarajio yote kawekeza hapo mwaka jana alikosa hakuenda chuo Mwaka huu kaweka hadi cheti cha kifo cha baba yake lakini amekosea batch ya 1..