Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Kama kaweka cheti cha kifo na form imepita kwenye verfication anapata lakini si mwanafunzi anayeendelea na chuo? Kama ndio wao uwa batch zao zinautofauti kabisa sio hizi zilizoanza toka wao uwa ni batch ya mwisho kabisa hapo za mwanzo wanapewa mwaka wa kwanza wanaoenda anza chuo awe mvumilivu kidogo asubili batch ya tatu ndo inakuwaga na wanafunzi wanaoendelea na chuoKuna nasubiri kumuangalizia leo akikosa sijui itakuwaje maana matarajio yote kawekeza hapo mwaka jana alikosa hakuenda chuo Mwaka huu kaweka hadi cheti cha kifo cha baba yake lakini amekosea batch ya 1..
Mkuu niamini akuna maswala ya priority kozi ni bahati tu aya mambo tunaomba wengi atuwezi pata wote hyo ndo point wewe assume walimu na watu wa afya pekee waombaji wangap zaidi ya bajeti hiliyopangwa kwahyo atuwezi pata wote na kwa bahati mbaya wao wanadai wanazingatia economic status ya muombaji kupitia shule alizosoma Na kitu ambacho uwez pata jibu sahihiHuenda kozi uliyochaguliwa haikua priority mkuu.
Una uhakika gani kwamba atapata mkopo?Punguza wenge,huyo atapata mkopo.
Sijui ila walisema leo ..Mkuu kwan batch ya pili tayari??
Mwaka jana alipata chuo na mkopo UDoM ila alipatwa na majanga akashindwa kabisa kuripoti chuo kwa hiyo hakiwahi kufika,kusajiliwa wala kusoma mwaka huu kaomba NIT kapata chuo mkopo stage ya verification kapita bado kupewa..Kama kaweka cheti cha kifo na form imepita kwenye verfication anapata lakini si mwanafunzi anayeendelea na chuo? Kama ndio wao uwa batch zao zinautofauti kabisa sio hizi zilizoanza toka wao uwa ni batch ya mwisho kabisa hapo za mwanzo wanapewa mwaka wa kwanza wanaoenda anza chuo awe mvumilivu kidogo asubili batch ya tatu ndo inakuwaga na wanafunzi wanaoendelea na chuo
Kama kweli unampenda mdogo wako na una kauwezo TAFADHALI USIMUOMBEE MKOPO, LIPA ADA MWENYEWE.Kwema watu wa Mungu?
Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake.
Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia ada?
NOTE:amechaguliwa SUA kozi ya veterinary medicine.View attachment 2392180
Mbona hujui kuandika?Xxiv wameandk kbx mpk 27!
What's this?Xxiv wameandk kbx mpk 27!
He kwa maana iyo huyo anahesabika kama mwaka wa kwanza anayeanza chuo hzi batch zinamuhusu vip batch ya pili bado aikua nzuri tena kwa upande wake au wamempaMwaka jana alipata chuo na mkopo UDoM ila alipatwa na majanga akashindwa kabisa kuripoti chuo kwa hiyo hakiwahi kufika,kusajiliwa wala kusoma mwaka huu kaomba NIT kapata chuo mkopo stage ya verification kapita bado kupewa..
Kwan batch 2 wametoa?maana naona wale wa tarehe 21 naona wote wamepigwa tarehe 27.He kwa maana iyo huyo anahesabika kama mwaka wa kwanza anayeanza chuo hzi batch zinamuhusu vip batch ya pili bado aikua nzuri tena kwa upande wake au wamempa
Hawajampa kaandikiwa tarehe 27.He kwa maana iyo huyo anahesabika kama mwaka wa kwanza anayeanza chuo hzi batch zinamuhusu vip batch ya pili bado aikua nzuri tena kwa upande wake au wamempa
Duh pole ndugu batch2 teyar hyo 27nafikili ni batch 3 endelea kizidisha maombi nchi yetu sote hii na mungu amtupi mja wakeHawajampa kaandikiwa tarehe 27.
He teyar bach 2 kama wamemsogeza tarehe 27 basi aendelee subir batch 3 mungu ni mwema zidisha maombiKwan batch 2 wametoa?maana naona wale wa tarehe 21 naona wote wamepigwa tarehe 27.
We umepata batch 2?maana kuna mdau kaniambia batch one ilikua ni kwa ajili ya watu ambao hawana wazazi au wenye mzazi mmoja tu,sijui kama kuna ukweli hapo mkuu?He teyar bach 2 kama wamemsogeza tarehe 27 basi aendelee subir batch 3 mungu ni mwema zidisha maombi
Mimi nina watu wawili wote hawana Mzazi mmoja (Baba) hawajapata one wala twoWe umepata batch 2?maana kuna mdau kaniambia batch one ilikua ni kwa ajili ya watu ambao hawana wazazi au wenye mzazi mmoja tu,sijui kama kuna ukweli hapo mkuu?
Kupata mkopo sio lazima apate batch y kwanza. Aendelee kusubir Lakin pia ukiona huelew beba hayo mafomu nenda hukohuko bodi katimue vumbi. Wanampa walahiKuna nasubiri kumuangalizia leo akikosa sijui itakuwaje maana matarajio yote kawekeza hapo mwaka jana alikosa hakuenda chuo Mwaka huu kaweka hadi cheti cha kifo cha baba yake lakini amekosea batch ya 1..
Hapana mimi mwaka 2019 nilimpata mkopo batch y nne na mzazi amefariki mda tuWe umepata batch 2?maana kuna mdau kaniambia batch one ilikua ni kwa ajili ya watu ambao hawana wazazi au wenye mzazi mmoja tu,sijui kama kuna ukweli hapo mkuu?