Poa nitafanya hivyo maana kuna mwamba aliwahi kuingia na vyeti Moja kwa Moja mpk ofisi namba fulani mule na kujielezea wakampa asilimia za kishindo.Kupata mkopo sio lazima apate batch y kwanza. Aendelee kusubir Lakin pia ukiona huelew beba hayo mafomu nenda hukohuko bodi katimue vumbi. Wanampa walahi
Wasenge wale jamaa. Mm nimeona Kwa Macho yangu bi mkubwa kawanywia gongo kaenda kuwavurugia siku wakamwita ndaniPoa nitafanya hivyo maana kuna mwamba aliwahi kuingia na vyeti Moja kwa Moja mpk ofisi namba fulani mule na kujielezea wakampa asilimia za kishindo.
Sip kweli mimi mdogo wangu amepata batch1 na baba yu hai na mama yu hai pia mimi nimemaliza chuo huu mwaka wa 3 sasa nipo kitaaWe umepata batch 2?maana kuna mdau kaniambia batch one ilikua ni kwa ajili ya watu ambao hawana wazazi au wenye mzazi mmoja tu,sijui kama kuna ukweli hapo mkuu?
Mkuu unabidi uende. Pale Helsb na vyeti ao madogo wnabid wawepe 100%Poa nitafanya hivyo maana kuna mwamba aliwahi kuingia na vyeti Moja kwa Moja mpk ofisi namba fulani mule na kujielezea wakampa asilimia za kishindo.
Alhamdulillah Wote wamepata sasa ,kuna update umetoka now inaelekea wakuu wanapitia uzi huu wamesikiliza maoni 😂😆😂Mkuu unabidi uende. Pale Helsb na vyeti ao madogo wnabid wawepe 100%
Kweli kabisa si haba kwa hicho japo nilitarajia watapata atapata asilimia zaidi kutokana na cases zao ila ni heri kuliko kukosa kabisa.Tushukuru Mkuu
Sasa Waanze kujiandaa na chuo
Itakua ya 2 au 3Batch ya ngapi hii wapo?
Duh! inabidi uwe unatembelea mara kwa mara kucheki updates muda bado tujipe imani tu .Huyu wangu sina uhakika tena kama atapata.naona account yake iko vile vile tu aisee..tarehe 27
Haya maajabu kabisa bora ulivyoscreenshot kama ushahidi untakapoenda kulalamika.Saizi kwel naona kuna update mpya mdogo wangu alipata batch 1 lakini sasa status imebadilika ety asubili tarehe 27 ni miujiza tupu na uzuri uwaga nascreen shoot kila dakika ninapotembekea sipa yake
Mwaka jana kuna mwanafunzi mtaani kwetu kasoma Private O_level kapata na kuna mwengine kasoma zote serikali alikosa kapata mwaka huu.Huyu wangu sina uhakika tena kama atapata.naona account yake iko vile vile tu aisee..tarehe 27.
Huenda kusoma kwake private kumemuangusha
Kudra za mwenyezi Mungu tu mkuuDuh! inabidi uwe unatembelea mara kwa mara kucheki updates muda bado tujipe imani tu .
Yah apa nasubir hiyo tarehe wasiporudisha basi tutajua tunaingilia wap kulalalamika shaidi ninazoHaya maajabu kabisa bora ulivyoscreenshot kama ushahidi untakapoenda kulalamika.
Inamaana umenyang'anywa mkopo si ndio?Yah apa nasubir hiyo tarehe wasiporudisha basi tutajua tunaingilia wap kulalalamika shaidi ninazo
Yah tafsiri yake ndo hiyo asah hapo japo nitaenda bodi physically wakanipe maelezo why?Inamaana umenyang'anywa mkopo si ndio?