Hii stori ya kweli inasisimua kutokea shuleni Mazinde Juu

Hii stori ya kweli inasisimua kutokea shuleni Mazinde Juu

Daah nimetokwa machozi...
hata mm yamenidondoka mtoto kapitia mambo magumu, na sijui yupo wapi kwa sasa
ila asiisahau familia hata akiolewa mbali
sijui Mazinde ni Lushoto au Morogoro
Naona hapa hajapiga lile sweta rangi ya carrot!
hata huyu Kuduishe naye analipa. naona karibu anamaliza masomo
1591989430569.png
 
Huyo marietha lazma atakuwa wife material..vijana changamkeni
Khaaa mkuu unaliza apple kwenye iphone?

Hilo Darasa lao walikua wazuri kunzia roho mpaka sura...
Vijana wa ..........Seminary kama wapo humu watanielewaa,
 
  • Thanks
Reactions: amu
hata mm yamenidondoka mtoto kapitia mambo magumu, na sijui yupo wapi kwa sasa
ila asiisahau familia hata akiolewa mbali
sijui Mazinde ni Lushoto au Morogoro

hata huyu Kuduishe naye analipa. naona karibu anamaliza masomo
View attachment 1476745
Mazinde ya Tanga wilaya ya lushoto mkuu..japo kwa mkoa wa Tanga kuna mazinde mbili..moja ipo korogwe vijijini na hii ya lushoto.
 
Mazinde ya Tanga wilaya ya lushoto mkuu..japo kwa mkoa wa Tanga kuna mazinde mbili..moja ipo korogwe vijijini na hii ya lushoto.
Huwa tunatofautisha kwa kusema mazinde juu na na mazinde chini.
Hii inaongelewa mazinde juu.
Miaka hiyo interview pale Msimbazi center.
Ukipita hapo wewe ni kichwa kweli.
Au upate bahati kama za kina Happy.
 
hata mm yamenidondoka mtoto kapitia mambo magumu, na sijui yupo wapi kwa sasa
ila asiisahau familia hata akiolewa mbali
sijui Mazinde ni Lushoto au Morogoro

hata huyu Kuduishe naye analipa. naona karibu anamaliza masomo
View attachment 1476745
Lushoto, specifically Magamba karibu kabisa na chuo cha SECOMU(nilisikia kimefungwa kwa sasa)
 
Kwani wewe hujui shule za girls kuna boys huwa wanasarandia? Unakuta wanajua kila kitu kuhusu shule?
🙌🏼🙌🏼😃Huyu jamaa alikuwa baharia basi...

Maana nilishindwa kumuelewa
 
  • Thanks
Reactions: amu
Huwa tunatofautishe kwa kusema mazinde juu na na mazinde chini.
Hii inaongelewa mazinde juu.
Miaka hiyo interview pale Msimbazi center.
Ukipita hapo wewe ni kichwa kweli.
Au upate bahati kama za kina Happy.
Sahihi kabisa!
 
[emoji1373][emoji1373][emoji2]Huyu jamaa alikuwa baharia basi...

Maana nilishindwa kumuelewa
Ulitakiwa ujiongeze mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]mpaka ametajwa Marietha hukujua tu.
 
hata mm yamenidondoka mtoto kapitia mambo magumu, na sijui yupo wapi kwa sasa
ila asiisahau familia hata akiolewa mbali
sijui Mazinde ni Lushoto au Morogoro

hata huyu Kuduishe naye analipa. naona karibu anamaliza masomo
View attachment 1476745
Daaah mashaalah, mtoto wa kuweka ndani kabisa huyuu😋
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Niko hapa.
Naaaam mkuu, nadhani kama mliweza kusaidiana kuijenga nyumba ya rafiki yenu happy, sidhani kama tutashindwa kusaidiana mimi na wewe kuijenga nyumba yetu wawili kama wapendanao ☺☺😜
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom