hata mm yamenidondoka mtoto kapitia mambo magumu, na sijui yupo wapi kwa sasaDaah nimetokwa machozi...
hata huyu Kuduishe naye analipa. naona karibu anamaliza masomoNaona hapa hajapiga lile sweta rangi ya carrot!
Khaaa mkuu unaliza apple kwenye iphone?Huyo marietha lazma atakuwa wife material..vijana changamkeni
[emoji23][emoji23][emoji23]Niko hapa.Naamini kati ya wale mabinti 117 rafiki zake na happy wapo ambao watakuwa bado wapo Single, Mungu anipe nini sasa kama sio wife materia.
Wewe ni umesoma hapo mazindeKhaaa mkuu unaliza apple kwenye iphone?
Hilo Darasa lao walikua wazuri kunzia roho mpaka sura...
Vijana wa ..........Seminary kama wapo humu watanielewaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni umesoma hapo mazinde
Mazinde ya Tanga wilaya ya lushoto mkuu..japo kwa mkoa wa Tanga kuna mazinde mbili..moja ipo korogwe vijijini na hii ya lushoto.hata mm yamenidondoka mtoto kapitia mambo magumu, na sijui yupo wapi kwa sasa
ila asiisahau familia hata akiolewa mbali
sijui Mazinde ni Lushoto au Morogoro
hata huyu Kuduishe naye analipa. naona karibu anamaliza masomo
View attachment 1476745
Mbona unacheka? Mimi najua huyu ni "me" na najua ile shule ni girls au ni mchanganyiko? Hapa ndio nakuwa simuelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha utani Mi Mwanaume na ndevu kama ukoko...Wewe ni umesoma hapo mazinde
Kwani wewe hujui shule za girls kuna boys huwa wanasarandia? Unakuta wanajua kila kitu kuhusu shule?Mbona unacheka? Mimi najua huyu ni "me" Sasa najua ile shule ni girls au ni mchanganyiko?
Huwa tunatofautisha kwa kusema mazinde juu na na mazinde chini.Mazinde ya Tanga wilaya ya lushoto mkuu..japo kwa mkoa wa Tanga kuna mazinde mbili..moja ipo korogwe vijijini na hii ya lushoto.
Lushoto, specifically Magamba karibu kabisa na chuo cha SECOMU(nilisikia kimefungwa kwa sasa)hata mm yamenidondoka mtoto kapitia mambo magumu, na sijui yupo wapi kwa sasa
ila asiisahau familia hata akiolewa mbali
sijui Mazinde ni Lushoto au Morogoro
hata huyu Kuduishe naye analipa. naona karibu anamaliza masomo
View attachment 1476745
🙌🏼🙌🏼😃Huyu jamaa alikuwa baharia basi...Kwani wewe hujui shule za girls kuna boys huwa wanasarandia? Unakuta wanajua kila kitu kuhusu shule?
Sahihi kabisa!Huwa tunatofautishe kwa kusema mazinde juu na na mazinde chini.
Hii inaongelewa mazinde juu.
Miaka hiyo interview pale Msimbazi center.
Ukipita hapo wewe ni kichwa kweli.
Au upate bahati kama za kina Happy.
Ulitakiwa ujiongeze mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]mpaka ametajwa Marietha hukujua tu.[emoji1373][emoji1373][emoji2]Huyu jamaa alikuwa baharia basi...
Maana nilishindwa kumuelewa
Hahaha aisee, uliona mbali sanaUlitakiwa ujiongeze mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]mpaka ametajwa Marietha hukujua tu.
Daaah mashaalah, mtoto wa kuweka ndani kabisa huyuu😋hata mm yamenidondoka mtoto kapitia mambo magumu, na sijui yupo wapi kwa sasa
ila asiisahau familia hata akiolewa mbali
sijui Mazinde ni Lushoto au Morogoro
hata huyu Kuduishe naye analipa. naona karibu anamaliza masomo
View attachment 1476745
Naaaam mkuu, nadhani kama mliweza kusaidiana kuijenga nyumba ya rafiki yenu happy, sidhani kama tutashindwa kusaidiana mimi na wewe kuijenga nyumba yetu wawili kama wapendanao ☺☺😜[emoji23][emoji23][emoji23]Niko hapa.