Hii stori ya kweli inasisimua kutokea shuleni Mazinde Juu

Sioni dhana ya maana na Maendeleo kwenye hili zaidi ya sympathy tuu. Misaada hiyo ipo mingi tu na haina collective tija.
 
Halafu soon unakuta hyo happy anakua ni Mwanachama wa CCM
 
Naamini kabisa jamii yoyote ya Kitanzania,ikiamua kufanya jambo lolote "kijamaa",basi linawezekana.
Msikae kulaumu laumu tu,jiungeni mchukue hatua za pamoja,hakika mtafanikiwa.
Kongole kwenu.
Hivi kuna watu wanalaumu bila kuchukua hatua?
 
Kwahiyo huyo Fr. Damian sio beberu
 
Nimeipenda hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MENISON Ahsante kwa stori, inahamasisha sana siamini kama nimedondokwa na machozi kwa stori yako. yaani nimejikuta tuu nahuzunika hadi kulengwa na machozi. Hongereni nyote mliofanikisha.
 
Hongera sana.
Je umeolewa ? Nataka nizame PM
 
Nimesoma Magamba boy's Secondary school ni shule jirani na Mazinde juu.. Story imeni inspire sana
 
Demu wangu Lisa alimalizaga form 4 mazinde mwaka 2001...
 
Mbona unacheka? Mimi najua huyu ni "me" na najua ile shule ni girls au ni mchanganyiko? Hapa ndio nakuwa simuelewi
Nadhan anaongelea Soni Seminary....marafiki wa Mazinde juu!
 
Kwahiyo huyo Fr. Damian sio beberu
Hahaaaa, Sasa hapa tutatofautiana kwenye maana ya beberu,

Kama beberu ni Mzungu yoyote Basi naye Ndie, maana ni Mmarekani pure, ila yupo Tz Zaidi ya Mwaka wa 50 huu, na anapiga kiswahili zaidi ya Mswahili...
Kama Ubeberu unamana nyingine zaidi hapo sasa sijui..

Ila kiufupi kasaidia Sana watu,
Kasomesha wasiojiweza sana, Kajengea nyumba wazee sana, Ajira na misaada ya papo kwa papo ndio usiseme...
 
Duh, umenikumbusha mbali! Nilikua na special permit kwenda kuwatembelea kila nilipojisikia ila sasa huyu zumbemkuu hakutakiwa hata kuonekana sura yake pale
 
Lakini ni Mke wa Mtu sasa hivi ??? Yaliopita ......hayanuki......
Amna ni mwasheria pia ni singo maza msumbufu mno ajaolewa tumekuwa marafiki wakubwa mno, tuliacha kutokana na umbali yy kipindi anamaliza form 4 mm ndo nimekula ajira serikalini nikapangiwa Ngara uko akaenda chuo udsm wakampiga mimba chuoni uko akaolewa akachika ni mwanasheria kwenye taasisi moja ya serikali uko DSM...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…