Hii stori ya kweli inasisimua kutokea shuleni Mazinde Juu

Pasua kichwa kama shangazi[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Ok naona na wewe sasa umeisha pata Mwenza,
Lakini alikusaidia wakati huo na wewe si umsaidie saidie ushauri wa kimaisha ........
Ili asiwe na stress
 
Mdogo wangu wa mwisho alipata mazinde last.year Ila Ada maji marefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bahati nzuri akapata special school ya serikali huko Katikati ya nchi so tukampeleka huko

Tukwambia ungeenda shule ya kata tungejipiga uingie mazinde hivyo hivyo kwa Sasa kakomae huko kati tukutane advance [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Mazinde nshawai sikia story kuwa wanaiba mitihani sina uhakika lkn
 
Huu ndio Upendo, hii ndio ibada, huu ndio uzalendo, na utaifa. Hongereni sana , kuna wale manabii mwezi, wachungajo ovyo na ma ustadhi uchwara ,watu kila siku wanaongea kutoa sadaka ,wakati hawawezi kusaidia hata muumini mmoja. Nimeipenda sana na hongereni Mungu awabariki. Kuna nabii mmoja kuonyesha uchoyo wake na kukosa utu anawaambia usimwambie mtu "ubarikiwe". Watu wengi especially the religious people hawajui their purpose ya kuishi
 
nipe no. zake pm mkuu nina shida za kisheria hapa
 
Mwananchi wamethibitisha kuwa habari ni ya kweli
 
Sasa unachangishwa kujenga nyumba ya mwenzako wakati ww/wengine hawana sijaelewa aina hii ya upendo inaitwaje
Niamini mimi. Ukifuata kanuni hii hutakuja kumsaidia mwenye uhitaji yoyote duniani.
 
nani huyo iseee?
 
Watu wengi hudhani wazazi wanaosomesha shule nzuri hao wazazi ni matajiri.

Wako wengine ni maskini wanajinyima sana watoto wao wasome shule nzuri wakiwa na maisha magumu.

Mfano huu hapa wa mwanafunzi wa shule ya sekondary ya binafsi ya masista ya St Marys Mazinde Juu

​
 
Ada kubwa, gari,

Bado ni vitu ambayo vina ushabihiano na unafuu wa maisha. Ingawa hamna kinachoshindikana kati ya hivyo ukiamua.
 
YEHODAYA,

Uko sahihi mkuu, ndo maana wengine huwa tunaishangaa serikali kuwanyima mikopo wanafunzi toka Private high schools kwa kusimgizio cha wazazi wao kuwa matajiri. Wengine wanasomesha watoto private schools kwa kuuza vitumbua. Yaani miezi 6 mamantilie anafanya biashara kwa ajili ya ada ya mtoto wake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…